Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

kila binadamu ana usakaji pesa kwa njia anayo ijua mwenyewe.katika kubadilisha maisha ya kutafuta pesa nikachungulia fursa na liziki yangu kutoka kwa mungu kuingia madiba kwa mkaburu. hapo ndo ni...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Ndugu wanajukwaa, nimeweza kuona wastaafu waliowekewa pensheni yao wakielezea jinsi walivyopewa asilimia 25 ya mafao yao baada ya Ile 50 %kama ilivyoweza kuagizwa na Rais. Mwenye ufahamu zaidi juu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna vitafunio vya chai Tabata ambavyo vinaitwa mkate yani 'bread' lakini kiuhalisia ni maandazi au 'jam doughnuts'. Kifungashio chake kinaweza kufunguliwa na kufungwa ili mteja apewe andazi moja...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
LUGHA ya Kiswahili imepata mashiko baada ya kuwa moja ya lugha duniani zinazofundishwa katika mataifa zaidi ya 15. Katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Kiswahili ni lugha rasmi baada...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Nimeipata habari hii ya Prof Kamuzora, RAS Kagera, kutoka mitandao ya kijamii. Naamini hoja zilizomo humu ni hoja changamshi kuhusu falsafa (aina na mfumo) ya elimu yetu, tangu uhuru, kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzijuzi nilimtembelea rafiki yangu ambaye anajitahidi kuishi kama wale anaowaona kwenye Luninga, sasa yeye ana kavulana kake kako nasari, nako anakalea kama vile vitoto vya kwenye Luninga...
168 Reactions
286 Replies
37K Views
MREMBO Betty Kitoo kama alivyojieleza, Alhamisi mchana wiki iliyopita alipatwa na aibu baada ya kukutwa akiwa mtupu kazini kwake. Kilichomfanya akae katika mazingira hayo kwa mujibu wa chanzo...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kuna makundi yataanza maandamano kuunga mkono sheria mpya. Tukianza na wazee wa Dar ambao mara nyingi hutokea bararani baada ya mwenyekiti wa mtaa kukabidhi bahasha ya khaki jioni iliyopita...
10 Reactions
17 Replies
2K Views
MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) YAHAMISHA OFISI ZA HUDUMA KWA WATEJA
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Da es Salaam. Siku chache baada ya kusambaa kwa tangazo lililotolewa na Manispaa ya Temeke kuhusu tozo ili kupata vibali vya sherehe za harusi na kuzaliwa (‘besidei’) kwa kiwango cha Sh50,000...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
WATU wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Mbeya kwa makosa mbalimbali akiwamo kuingiza uyoga aina ya Soya Gold na mifuko laini ya plastiki kutoka nchini Malawi bila kulipia kodi. Kamanda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA MCHEZO WA KUBETI[emoji387] 1. Anatumia muda mwingi kwenye kubeti[emoji144] 2. Msiri juu ya tabia zake za kubeti na anakuwa mkali akifuatiliwa 3...
7 Reactions
79 Replies
19K Views
BUNDI ni aina ya ndege ambaye hula nyama; hufanya mawindo yao wakati wa usiku na kupumzika wakati wa mchana. Pamekuwepo na imani kwa wengi kwamba bundi anaponekana nyumbani kwa mtu ni lazima kuna...
20 Reactions
87 Replies
25K Views
Kwa jinsi nilivyochafukwa Naomba hata Salamu niachane nayo kabisa Wapendwa sana Wana JF wenzangu. Naamini kuwa Uzi huu Unaweza kumfikia Mheshimiwa Siro, Aidha kwa yeye Mwenyewe kuusoma au...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi nani anajua walipo wawili hawa: Jacqueline Liana Jane na Mihanji? Awali wawili hawa walianzia Uhuru na Mzalendo, wakiwa waandishi wa habari. Kwa mara za mwisho Liana alikuwa DC (Magu?)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu hebu mnisaidie kwamba nitawezaje kupata lesseni ya udereva bila ya kujihusisha na kutoa mrungura kwa jamaa zetu walio kalia mapembe? Tiari nimefuzu mafunzo ya udereva toka veta na nimeoewa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wazee wa favor vipi huko Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukiyatazama matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa hapo jana. Shule ya wasichana ya St. Francis iliyopo Jijini Mbeya imeongoza kwa kuwa na ufaulu wa juu Wanafunzi wote 91 wamepata daraja la...
25 Reactions
235 Replies
32K Views
Nawatakia usiku mwema! Huku tukijiandaa kulala naomba tuchangie hii mada. Je, maisha bora au duni hupangwa na Mungu au akili za mtu husika ndizo humweka mahali fulani?.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bado huwa ninashangaa kuhusu watu wanaojimaliza kwa sababu ya mitandao ya kijamii, yaani kwa kuwa watu wamemsema sana, kesho kajiua, anakuwa na stress mpaka wengine wanalia huku wakiwa...
1 Reactions
3 Replies
917 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…