Nchi hii bhana yaani kuna mtu amekaa akawaza weee na kuwazua akaona kwamba kusoma vyuo kama Oxford,Cambridge na Havard ndio unaweza mshauri Rais wa Tanzanaia
Wanasahau kwamba HAKUNA Rais hata...
Hii ya Monsanto kutuletea mbegu zinazotengenezwa maabara ili zitumiwe na wakulima haikubaliki na tunapaswa kupinga kwa akili na nguvu zetu zote.
Ndiyo, tuwapinge hawa Monsanto sababu mbegu za GMO...
wana JF,
Ishu ya watu wengi kutamani sana wanawake wenye sura nzuri zenye mvuta au wenye maumbo mazuri yanayovutia uja baadaye kujuta kwa kutoridhishwa wanachokikuta wakati ameisha waoa au kukuta...
Hii ndio taarifa mpya kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo Mh Ole Sendeka.
Nanukuu...
''Tutaendelea kama Serikali kufanya uchunguzi kwa kutumia vyombo vyenye ujuzi ili wale wote wanaohusika katika mauaji...
Ni ukweli uliodhahiri kwamba tangu 2015 serikali ijapata kiajiri walimu wahitimu wa masomo ya sanaa kwa ngazi ya degree na diploma hapa nchini
hali hii imepelekea ongezeko kubwa sana la walimu...
Wakati bei ya mkate Tanzania ni kati ya shs 1000 na elfu mbili yaani US$0.4 hadi US0.9, Zimbabwe ni kati ya US$1.4 hadi US$2.4 yaani ununue mkate dar kwa shs elfu mbili ukauze Harare kwa shs elfu...
Wakuu,
Naenda Kampala na nitakaa pale kwa wiki moja. Kubwa ni kwenda kufanya utalii wa kibiashara, kuona wao wanauza vitu gani kwa bei ndogo na wao wananunua vitu gani kwa bei kubwa ili nione...
Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amewasimamisha kazi wauguzi wanne wa kituo cha afya Mkoani wilaya ya Kibaha mkoani Pwani ili kupisha uchunguzi dhidi ya tuhuma zinazowakabili kutoa...
Familia ya Abhanyeregenge. Kumutanganza Lissu mtu Mwenye roho wa Mungu/Mahatma. February 28/02/2019
Kama ilivyofanywa huko India mwaka April 1915 pale watu wa jamii ya Gurukul Kangadi...
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inapenda kuwataarifu wadadisi wote waliohusika katika kazi ya kukusanya takwimu za Mapato na Matumizi ya kaya wa mwaka 2017/18 kuanzia Desemba 2017 hadi Novemba...
Tunaishi kwa nguvu za Mungu hapa duniani. Nchi kubwa zina nguvu kubwa za kivita.
Ugunduzi wa kila siku wa silaha mpya, mvutano wa kisiasa wa hizi nchi kubwa mwisho wake ni nini? Mbona kama hali...
Tundu Lissu hakika wewe sasa ni maarufu duniani baada ya kupata nafasi kwenye majukwaa ya kimataifa.
Mimi sio mwanasiasa na wala sijawa na interest za Politics. Naomba ukishamaliza hoja...
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Ally Hapi ameridhishwa na ubora wa ujenzi wa bweni la wasichana katika Shule ya Sekondari ya Nyan’goro , ambapo Mhe. Hapi alipongeza namna bweni hilo lilivyojengwa na...
Watanzania watatu wakutwa na hatia ya kutaka kujiunga na Al Shabaab nchini Kenya na kufungwa jela miaka 15.
Walikutwa mpakani wakivuka kwenda upande wa kaskazini ya Kenya kujiunga na kundi hilo...
Nimesoma kitabu cha mwanafalsafa anaelezea familia mbili zinazolelewa katika mazingira tofauti ila wanaishi katika changamoto za maisha zinazofanana.
Familia ya kwanza watoto wanaambiwa na baba...
BUNGE limelisia Jeshi la Polisi kutokana na kufanya vizuri katika makusanyo ya maduhuli kwa asilimia 131.6 ya lengo, huku Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikikusanya maduhuli kwa asilimia 78.6 ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema dola imeanza kuwasaka watu wote waliohusika kusambaza taarifa na picha za uongo zilizozua taharuki kuhusu matukio ya utekaji na mauaji ya watoto...
Jeshi la polisi mkoani Mwanza limewaua kwa risasi watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi katika mtaa wa Nyakabungo jijini Mwanza wakati wakijiandaa kuvunja maduka yaliyopo kwenye mtaa huo...
Nimejaribu kuwaangalia wanasiasa wengi ambao kitaaluma ni wanasheria kwa kweli ni watu wenye majivuno na waliopungukiwa unyenyekevu kabisa.
Pale bungeni tuna wanasheria wa kutosha tukianzia na...
Habarini wanajamvi,
Hii hali imekuwa inajitokeza sana kwa watu wa aina mbalmbali iwe mkubwa, mdogo.
Yaani mtu anaweza akawa yupo kiukaribu sana na kumpenda sana mtu fulani kwa namna yoyote...