Wakati bei ya mkate Tanzania ni kati ya shs 1000 na elfu mbili yaani US$0.4 hadi US0.9, Zimbabwe ni kati ya US$1.4 hadi US$2.4 yaani ununue mkate dar kwa shs elfu mbili ukauze Harare kwa shs elfu tano, hapa hata kama ukipakia mikate na unga wa ngano wa azam kwenye Dreamliner ukapeleka Zimbabwe inalipa tu.
Hebu Mo Dewj na Bhakresa ongozeni wawekezaji kwenda Zimbabwe kuangalia fursa za kuwekeza kwenye food industry Zimbabwe, huu ndio muda wa kuchangamkia fursa, hebu hizi Bakery zilizozagaa kila kona ya nchi sasa zifunguke na kuvuka mipaka ya nchi kusaka masoko.