Kwanini Taaluma ya sheria inaongoza katika kutoa wanasiasa wanaojisikia, wakorofi na watata?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
44,323
2,000
Nimejaribu kuwaangalia wanasiasa wengi ambao kitaaluma ni wanasheria kwa kweli ni watu wenye majivuno na waliopungukiwa unyenyekevu kabisa.

Pale bungeni tuna wanasheria wa kutosha tukianzia na Naibu wa Spika Dr. Tulia, mzee Chenge, Prof. Kabudi, Tundu Lissu, Halima Mdee, Simbachawene nk. Jaribu kuwaangalia wanasiasa hawa mmoja mmoja utaona kuna kitu wanafanana

Halafu jikumbushe yule Werema namna alivyoishi bungeni na majina aliyowatungia akina Kafulila.

Njoo kwa Mdee sasa ndio utachoka kabisa mara utasikia sijui kaonyesha alama gani bungeni..... yaani full vituko.

Yule mwingine sitaki kabisa kumzungumzia kwa sasa.

Jioni njema
Maendeleo hayana vyama!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom