Taarifa kuhusu makato ya GEPF kwa wadadisi wa HBS

Balichako

Member
Mar 3, 2018
9
12
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inapenda kuwataarifu wadadisi wote waliohusika katika kazi ya kukusanya takwimu za Mapato na Matumizi ya kaya wa mwaka 2017/18 kuanzia Desemba 2017 hadi Novemba 2018, kuwa NBS ilikuwa inapeleka michango ya wanachama kwa kila mwezi GEPF sambamba na malipo ya mishahara ilivyokuwa ikifanyika. Ushahidi wa kuwasilisha michango hiyo GEPF upo.

Ofisi ya Taifa ya Takwimu inawatoa hufu wadadisi hao kwa kuwa michango yao iliwasilishwa katika ofisi za GEPF.


UTAWALA
OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
06 Februari, 2019
IMG-20190206-WA0027.jpg
IMG-20190206-WA0028.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom