Ipo siku kutatokea vita nyingine kubwa duniani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
7,724
2,000
Tunaishi kwa nguvu za Mungu hapa duniani. Nchi kubwa zina nguvu kubwa za kivita.

Ugunduzi wa kila siku wa silaha mpya, mvutano wa kisiasa wa hizi nchi kubwa mwisho wake ni nini? Mbona kama hali inatisha?

Nahisi kuna siku kunakuja vita ya tatu ya dunia. Mabomu ya atomiki nyie mnayaonaje?
 
interlacustrineregion

JF-Expert Member
Oct 28, 2018
7,162
2,000
Tunaishi kwa nguvu za Mungu hapa duniani. Nchi kubwa zina nguvu kubwa za kivita. Ugunduzi wa kila siku wa silaha mpya, mvutano wa kisiasa wa hizi nchi kubwa mwisho wake ni nini? Mbona kama hali inatisha?

Nahisi kuna siku kunakuja vita ya tatu ya dunia. Mabomu ya atomiki nyie mnayaonaje?
Wasipoanzisha vita ya 3 dunia Manabii wataonekana waongo ni heri ianzishwe ili unabii utimie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
moudgulf

JF-Expert Member
Jan 23, 2017
87,659
2,000
Tunaishi kwa nguvu za Mungu hapa duniani. Nchi kubwa zina nguvu kubwa za kivita. Ugunduzi wa kila siku wa silaha mpya, mvutano wa kisiasa wa hizi nchi kubwa mwisho wake ni nini? Mbona kama hali inatisha?

Nahisi kuna siku kunakuja vita ya tatu ya dunia. Mabomu ya atomiki nyie mnayaonaje?
Kuna harufu ya ukweli.
Dunia bado inasumbuliwa na Mbu wa Malaria na magonjwa hatari kama Kansa, Ukimwi, Kisukari, Ebora nk, lakini nchi tajiri zinaendelea na jitihada zao za kuzindua silaha kali kali za kisasa zenye lengo la kumuangamiza binadamu. Badala ya kuwakomboa wakazi wa Dunia tokana na hatari ya maradhi.
Si hivyo tu dhuluma kwa nchi masikini za Afrika na Asia bado zimetamalaki.
Hakuna shaka mlundikano wa silaha za Nuklia na dhulma inayofanyika lazima ulete majibu ya fujo na Vita.
Mungu Mwenyezi aiepushe Dunia na dhahama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,291
2,000
Tunaishi kwa nguvu za Mungu hapa duniani. Nchi kubwa zina nguvu kubwa za kivita. Ugunduzi wa kila siku wa silaha mpya, mvutano wa kisiasa wa hizi nchi kubwa mwisho wake ni nini? Mbona kama hali inatisha?

Nahisi kuna siku kunakuja vita ya tatu ya dunia. Mabomu ya atomiki nyie mnayaonaje?
Mbona vita ya tatu ya dunia ishatokea.
Siku hizi sehemu isipopigana physical war ya kumwaga damu basi vita inapiganwa kwa kuchafua maji, hewa, ku contaminate vyakula nk.
Hujiulizi kwa nini rate ya vifo imeongezeka sana siku hizi? Ndo mipango ya vita yenyewe hiyo.
Mnalishwa madawa sana ili mfe wengi na kwa haraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom