Shida sio deni taifa wala miradi ya awamu ya tano

Shida sio deni taifa wala miradi ya awamu ya tano

isenti

New Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Nilicho jifunza kwenye awam hi ya tano. Watanzania tumeahajengewa kasumba yakuto amini Kila kitu akiwezekani ndo maana kitu kidogo watu wiki nzim kina jadiliwa.

Mfano deni la taifa. Imekuwa bonge la habari ukweli ni kwamba wanaotukopesha wanaona tuna uwezo na ndo maan kwa wafanyabiashara bank makini zinamshawishi mteja na kumpa kiwango wanachoona kinafaa kumpa kutokana na umahiri na uhodar wake wa kazi wanajua atalipa tu. Ila maskini uwa tunawaza watauza nyumba je umewai sikia nyumba ya mo au bakharesa inauzwa?

Tumashukuru Rais anamaamuzi na anatusaidia sisi. Watu hooo kwa nn tukope wakat anasema sisi ni donor country?
Japan,Marekan etc ni madonor country ila ndo wanaongoza kwa maden. Alafu simple concept tu unashida na elfu 10000 ili ujenge barabara au bandari ambacho ni chanzo Cha uhakika Cha mapato, uwezo wako wa kupata elfu kumi Kama utaaamua kukusanya ni miezi 6, mtu anakuja kukukopesha anakwambia shika 10000 Jenga unachotaka ila utalipa elfu 15000 ndan ya mwaka.utaacha ela?

Mungu atusaidie tuondokane na inflicted fear na negative mind zetu. Naamin nchi yetu tunaenda na tunaenda vizuri Sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa ni boya sana,hivi unadhani mikopo ya mabilioni ya Tsh. Ya kina Mo,Bakhressa dhamana zao ni nyumba.?

Mo Dewji alikopa zaidi ya Tsh.300bil kutoka bank moja huko S/Africa then unadhani dhamana yake ni nyumba?

Toa mifano relevant.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Yaani unajifanya na kiswahili umesahau kuandika

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom