Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Huu ni ujumbe kwa wale wanangu wa ukweli team vimbaumbau wanaoenda gym ili kujenga misuli na kubadilisha muonekano!
Wengi wao wamekuwa wakikata tamaa baada ya kutokuona matokeo yeyote!na kujikuta wameacha kwenda gym!
Tatizo hasa ni kwamba watu wengi was gym wamekuwa wakidanganya vimbaumbau kwamba watajazia misuli ndani ya mwezi mmoja tu!wakati watu wengine wameenda gym tayari wakiwa wana miili mikubwa!
Team viambambau inahitaji siku zisiopungua 366 kuona mabadiliko kwenye mwili wako ama maisha yako yote gym kwahiyo msikate tamaa
N:B,ujumbe huu ni kwa wale wenye mwili kama madenge ama Eric omondi!
Mods msiunganishe Uzi huu na Uzi wowote,wala kuuhamisha kwenda popote
Sent using Jamii Forums mobile app