Tafiti: Baada ya tafiti kuhusu FLAT 'Bense' Earth, Sasa nimegundua huyu mtu.

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,917
2,000
Baada ya tafiti kuhusu FLAT 'Bense' Earth na Universe sasa nimegundua mtu flani.

miminimkulimanachekasana
Huyu ni mwanamke Mjerumani na ikiwa ni Mtanzania basi anayo asili ya Germany, anaonekana anatoka Berlin, Dusseldorf, Köln au Hamburg
Ni muajiliwa pia kajiajiri, anauwezo wa wastani kifedha kwa Germany lakini kwa Tanzania ni wale wanaoitwa wenye 'Gate Kali'
Anapenda sana Kiswahili na anaamini Tanzania kuna vijana wenye uwezo na maarifa. (Moja ya sababu kuwepo JF)
Ni mmoja kati ya wale Red headed waliobalikiwa uzuri na mvuto pia vipawa.
Anaishi maeneo yenye baridi pia upendelea kwenda maeneo yenye joto.
Land Rover 4x4 inayoanza na B na Audi inayoanza na D ni Baadhi ya vyombo vya moto anavyomiliki.
Hupendelea kuvaa suruali 'Jeans', simple shoes kama Converse almaarufu 'Sneaker'.
Club/Pub huingia lakini sio kwa sana mara moja moja.
Katika miezi 4 na ile minne 4 alikuwa Germany pia Austria.
Yupo humble for sure na huyu ndiye miminimkulimanachekasana one of JamiiForums member.
--------
Natazidi kuwajuza kadri ninavyo tafiti.
 

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,917
2,000
Hahaha Haki ya Mungu stress ni kitu kibaya.

USSR siasa zimeingiaje?! Samahani mimi sijuhusishi na siasa ya haina yoyote.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom