Mwenyekiti wa kijiji cha Gijedabung(CHADEMA) atoweka hajulikani alipo

KAKADO

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
218
500
Hali ya hofu na wasiwasi imeikumba kata ya Endakiso, kijiji Gijedubung wilayani Babati mkoani Manyara baada ya Mwenyekiti wa kijiji ndugu Faustine Kwaslema Sanka kupotea katika mazingira yakutatanisha

Kwa mujibu wa mtendaji wa kijiji bwana John Isdory anasema Faustine alitoka nyumbani asubuhi akiwa na usafiri wa Pikipiki na hakurejea nyumba tena

Amepotea tangu tarehe 9/2/2019 na mpaka leo tarehe 13/02/2019 hajulikani halipo licha ya Wanakijiji kujitolea kumtafuta bila mafanikio

Taarifa za kupotea kwakwe tayari zipo katika Kituo cha Polisi na upelelezi wakumtafuta bado unaendelea.
 
Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,607
2,000
Hali ya hofu na wasiwasi imeikumba kata ya endakiso,kijiji Gijedubung,wilayani Babati mkoani manyara,baada ya mwenyekiti wa kijiji ndugu Faustine kwaslema sanka kupotea katika mazingira yakutatanisha,Kwa mujibu wa mtendaji wa kijiji bwana JOHN ISDORY Anasema FAUSTINE alitoka nyumbani Asubuhi akiwa na usafiri wa pikipiki na hakurejea nyumba tena Faustine amepotea Tangu tarehe 9/2/2019 na mpaka leo tarehe 13/02/2019 Hajulikani halipo Licha ya wanakijiji kujitolea kumtafuta bila mafanikio,Taarifa zakupotea kwakwe Tayari zipo katika kituo cha polisi na upelelezi wakumtafuta bado unaendelea.
Kuna background yoyote ambayo huenda imesababumisha kupotea kwake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,919
2,000
asije kuwa alichukua guna then akagoma kuhamia chama la mafisadi.... balaa; mwizi haibiwagi
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
4,687
2,000
Hali ya hofu na wasiwasi imeikumba kata ya Endakiso, kijiji Gijedubung wilayani Babati mkoani Manyara baada ya Mwenyekiti wa kijiji ndugu Faustine Kwaslema Sanka kupotea katika mazingira yakutatanisha

Kwa mujibu wa mtendaji wa kijiji bwana John Isdory anasema Faustine alitoka nyumbani asubuhi akiwa na usafiri wa Pikipiki na hakurejea nyumba tena

Amepotea tangu tarehe 9/2/2019 na mpaka leo tarehe 13/02/2019 hajulikani halipo licha ya Wanakijiji kujitolea kumtafuta bila mafanikio

Taarifa za kupotea kwakwe tayari zipo katika Kituo cha Polisi na upelelezi wakumtafuta bado unaendelea.
Kangi, njoo huku ukanushe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom