Uvivu chanzo kikuu cha ushirikina Tanzania

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,471
2,000
Wakuu nimetafakari sana hizi habari za ushirikina nchini kwetu zikidhihirishwa na mauaji ya ajabu ajabu,,mfano mauaji ya Njombe,MKIRU,Shinyanga na mengine kama haya.

Ingawa yamehusishwa na nadharia tofauti tofauti ikiwemo siasa,kutafuta utajiri,kutokumjua Mungu nk,(waweza tia humo hata shambulio la kikatili dhidi ya Lisu sina shaka nia ilikuwa ni kuua) ndiyo nikaona yamezaliwa na mama mmoja anayeitwa Uvivu!sijajua tu kama ni nani aliyempa hii mimba ya uharifu.

Watu wavivu wana muda mkubwa wa kutafakari mambo ya watu wengine,kuwaona kuwa wanajivuna na hivyo kutamani kuwashusha au kuwakomesha kabisa.


Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Oct 30, 2018
58
125
Kwa uelewa wangu ni mambo ya siasa na si vinginevyo. kuna kipindi waziri mmoja aliangua kilio bungeni baada ya kugundua kwamba wabunge ndo wanaoua maalbino, pia mbunge akakutwa ananyunyi9a dawa bungeni na mauaji maranyingi inatokea uchaguzi ukikaribia hata BBC nao walirepoti hivyo hivyo
 

mathabane

JF-Expert Member
Jan 27, 2013
2,197
2,000
Wakuu nimetafakari sana hizi habari za ushirikina nchini kwetu zikidhihirishwa na mauaji ya ajabu ajabu,,mfano mauaji ya Njombe,MKIRU,Shinyanga na mengine kama haya .Ingawa yamehusishwa na nadharia tofauti tofauti ikiwemo siasa,kutafuta utajiri,kutokumjua Mungu nk,(waweza tia humo hata shambulio la kikatili dhidi ya LisuSina shaka nia ilikuwa ni kuua) ndiyo nikaona yamezaliwa na mama mmoja anayeitwa Uvivu!sijajua tu kama ni nani aliyempa hii mimba ya uharifu.
Watu wavivu wana muda mkubwa wa kutafakari mambo ya watu wengine,kuwaona kuwa wanajivuna na hivyo kutamani kuwashusha au kuwakomesha kabisa.


Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Watakupinga ila ukweli huu ni asilimia elfumoja 1000%

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom