Wenye business experience wagumu kutoa ushauri, wasio jua wanalazimisha kushauri hata kama hujawaomba

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,202
2,000
habari wadau.. kuna jambo linanishangaza sana..

ukiwa unafanya biashara yeyote.. mara nyingi ndugu, jamaa na marafiki ambao hawana experience ya biashara hiyo au hawana biashara yeyote, wanapenda sana kutoa ushauri.. hata kama hujawaomba ushauri , ni wepesi sana kukupa ushauri hata kama hawana uhakika na ushauri wao kama utakuletea mafanikio..

kundi la pili ni la wale ndugu, jamaa na marafiki ambao wanafanya biashara kwa mafanikio na wanaijua,,, ni wagumu sana kukupa ushauri hadi uwaombe sana na sana..

mfano ni vigmu mzee mengi kukupatia ushauri wa biashara kama hujamuomba. hata kama ni ndugu yake.. ila ndugu yako mwingine asiye na business experience atakuwa anakushauri kila mnapoonana hata kama hujamuomba ushauri.. na usipoufata analalamika umemdharau

hii ni kwa nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom