Management ya Tigo iliangalie hili: Mnaboa sana

magagagigikoko

Senior Member
Nov 13, 2017
149
250
Kwa siku za karibuni mtandao wa Tigo umekuwa na matangazo mengi kupitia sms. Matangazo ya matumizi ya Tigo app na mengineyo. Lakini wanaenda mbali zaidi mpaka wakati mwingine kupiga simu kwa wateja kuwaeleza habari za kitu kinaitwa Tigo Bima.

Haya matangazo yao yanaboa sana. Msg zinaingia wakati mwingine mtu uko busy na kazi zako, unahisi ni msg ya maana, unakutana na msg ya Tigo app. Na haya mambo TCRA ilishayakemea, kwanini bado yanaendelea?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
22,918
2,000
Wala Tigo haikuhusu dogo. Huu mtandao ni kwa wale wanaishi Mjini sasa wewe unaishi Kirando huko Namanyere au Mwandiga huko Kigoma Tigo haikuhusu pita kimia tu
Nyau pori, kimia ni kiti gani? Usiwe unaongea kama vile siyo bwege.
 
prince mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
2,578
2,000
Kwa siku za karibuni mtandao wa Tigo umekuwa na matangazo mengi kupitia sms. Matangazo ya matumizi ya Tigo app na mengineyo. Lakini wanaenda mbali zaidi mpaka wakati mwingine kupiga simu kwa wateja kuwaeleza habari za kitu kinaitwa Tigo Bima.

Haya matangazo yao yanaboa sana. Msg zinaingia wakati mwingine mtu uko busy na kazi zako, unahisi ni msg ya maana, unakutana na msg ya Tigo app. Na haya mambo TCRA ilishayakemea, kwanini bado yanaendelea?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa kero sana, yaan kila baada ya dakika10 sms, hizo za mikamali ndio usiseme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom