Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Enzi za shule ya Msingi, nilikuwa napenda sana michezo mimi na mdogo wangu, ingawa mzee alikuwa hapendi tuwe tunachelewa kutoka kucheza mpira maana alikuwa Mjeda JWTZ Ila tulikuwa na tabia ya...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii ipo kwenye gazeti la East African lililochapisha kuwa kuna wafungwa karibia 1900 wanaoshikiliwa kwenye magereza ya Tanzania. Wakimbizi duniani adhabu yao ni kuwekwa magereza? Kesi zao...
10 Reactions
72 Replies
7K Views
Isee ni hatari sana.Inahuzunisha sio kidogo saaaana,nimeingiwa na huruma ghafla.Katika kupitapita youtube kujua yaliyojiri nimekutana na clip moja iliyorushwa na online tv moja nimeshindwa kuiweka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam aleykum? Kuuliza sio ujinga so napenda kujua vile viringi vya shaba na fedha wanavyovaa madereva vinapopatikana,maana kwasasa nina mpango wa kujifunza kuendesha gari kubwa na ndogo ili...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Kichwa kinajieleza. Mtu yeyote anayevaa nguo iliyochanwa kwa makusudi na kuingia mtaani wakati huo yeye si fukara anayeshindwa kununua nguo mtu huyo akili yake imeharibika na anahitaji msaada...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mim kama mwananchi, mchangia pato la taifa hili na kwa kutambua wajibu wangu mim kama sehem ya rasilimali watu(human resource), nnawatupie lawama Mtandao wa Hallotel na huduma zenu zisizo ridhisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau habari za kazi. Hivi ukiwa umekabidhiwa shirika au kampuni ya umma na vikaja vifaa vingi vya msaada mkavipokea vizuri na kuingiza kwenye Leger, alafu wizi wa baadhi ya vifaa ukatokea...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Wakuu, salaam! Wiki ijayo natarajia kwenda Tabora, basi gani la uhakika nipande wandugu? Nauli ni shilingi ngapi hadi kule? Ahsanteni!
0 Reactions
31 Replies
13K Views
Sahau kuhusu mke mwema, mzuri, atakaye kuwa nawe wakati wa raha na wakati wa shida. Mwanamke mpenda dini, mwanamke ambaye anakupenda wewe kama wewe na sio mali na mazingira yanayokuzunguuka. Sahau...
2 Reactions
1 Replies
800 Views
Historia inasema watu wa kwanza kuelimika na kustaarabika ni waarabu. Hata wazungu hawakua wanawakaribia kwa ustaarabu na maendeleo. Kilichokuja kuwarudisha nyima waarabu ni dini. Walipoanza...
13 Reactions
61 Replies
8K Views
Swali fikirishi kidogo,Leo nimeudhuria ibada ya ndoa ya jirani yangu hapa kisarawe. Ndoa imefana sana,ila kuna vitu vimenitatiza kidogo.,mpiga kinanda ametumia mda wote kukaa hadi ibada...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimeona habari kupitia company tajwa hapo juu ikieleza Magufuli anavyochapa kazi vizuri. Company hii inajihusisha na uchimbaji madini ya dhahabu pia inaubia na serikali katika leseni za madini ya...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Kwa wachezaji walioanzishwa kipindi cha kwanza uwezo wao umeonekana mdogo sana na mashambulizi yamekuwa makali sana, ili tusiendelee kuruhusu magoli kuwa mengi kwa niaba ya mashabiki wa timu na...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Naona mikutano Yao na hata marafiki zangu wapo huko kwenye hiko chama ila nikiwauliza hawanipi maelezo ya kuridhisha wananiambia nijiunge nitakuwa tajiri Ni fursa kubwa ya kibiashara na Mambo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kampuni ya KLM Capital ya Marekani inayowekeza kwenye mazao ya kilimo nchini, inadai kutapeliwa mtaji wa Sh1.24 bilioni ilizotoa kwa kampuni ya Eagle Investment and Logistics (T) Ltd kwa ajili ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Protocol Observed! Nimeamua kulileta hili mana hali ishakuwa mbaya hasa kwenye sekta ya matumizi ya ubongo. Ni kweli mahaba yetu ya vyama isitutoe fahamu. Lililo sahihi tuseme hili "SAWA" na lile...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
MKURUGENZI wa Kampuni ya wawekezaji kutoka Falme ya Kiarabu ya Ortello Business Cooperation (OBC), Isack Mollel (59), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, akikabiliwa na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu. Nimeona habari youtube kwa millardayo kuhusu wafanyabiashara wa congo wakilalamikia tozo mbali mbali na kumwomba Mh.Rais Magufuli aingilie kati suala hilo na ukweli ni kua hili ni doa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola amemuonya kamanda wa polisi wa wilaya ya Arumeru H. Mwampelwa kutokushiriki katika kusindikiza bangi na mirungi baada yakukithiri kwa madawa yakulevya ya aina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia raia 13 wa Ethiopia wakiwa wamejificha kwenye shamba la mkazi mmoja wa mtaa wa Nyaburogoya Kata ya Nyegezi jijini hapa. Miongoni mwao, watano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…