The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Historia inasema watu wa kwanza kuelimika na kustaarabika ni waarabu. Hata wazungu hawakua wanawakaribia kwa ustaarabu na maendeleo.
Kilichokuja kuwarudisha nyima waarabu ni dini. Walipoanza kuchanganya dini kwenye kila kitu hapo ndio walipoanzia kurudi nyuma na wazungu kushika hatamu.
Dini za asili zilikuwepo katika jamii zote, na kuna nyingine zilipelekwa na watu ila wazungu walikua wajanja, wakaweka dini pembeni kua ni jambo la mtu binafsi. Waarabu wakafanya dini kua maisha, kila kitu kiamuliwe na dini.
Dini mara nyingi haihamasishi kua na mawazo huru, dini inataka kila kitu soluhisho la kila jambo litoke kwake, dini inataka iwe ndio suluhisho la matatizo yako, uaiwaze, usihangaishe akili yako maana dini inataka ifanye hvyo kwa ajili yako. Bado ukikimbilia dini haikupi suluhisho la matatizo yako, dini inakupa matumaini na kukutaka uamini kua matatizo yako mungu anayaona na atakulipa huko mbinguni.
Waarabu wakaikumbatia dini, wakaifanya dini iwe ndio kila kitu katika maisha yao, dini ifikiri na itoe majawabu ya matatizo yao. Wazungu walipogundua hilo wakatenganisha dini na siasa.
Isingekua dini waarabu wangekua ndio jamii iliyoendelea na kustaarabika zaidi Duniani.
Mada inaendeles.