Pale panapotokea wizi mkubwa na mnahisi mmoja wenu kahusika na hamtaki habari ivuje, mtatumia mbinu ipi kumbaini mhalifu huyu?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,916
2,000
Wadau habari za kazi.

Hivi ukiwa umekabidhiwa shirika au kampuni ya umma na vikaja vifaa vingi vya msaada mkavipokea vizuri na kuingiza kwenye Leger, alafu wizi wa baadhi ya vifaa ukatokea baadae, mkawa na uhakika wahusika ni humohumo ofisini haswa watunza stoo mtatumia mbinu gani kuwabaini?

Hazitakiwi taarifa hizi kivuja kwa mamlaka husika kulinda kibarua cha wengi, Wala polisi kubaini pia ili kulinda wengi wasiohusika kutiwa nguvuni na pengine kufukuzwa kazi na kampuni au shirika hili.


Nauliza tena ni watu wachache ofisini kuhusika tu kuwachunguza kimyakimya watuhumiwa wapate uhakika walikoficha au kuuza vifaa na ndipo habari zivujishwe kwa hatua zaidi, mbinu gani itumike?

Kama huna busra ktk hili pita kimya, japo ushauri na tahadhari unakaribishwa.
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,228
2,000
hivyo vifaa vina ukubwa gani? wa kuweza kuwekwa mifukoni, au ni makubwa ya kubebwa begani
hujafafanunua
bora kusamehe
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,597
2,000
mtu alie accountable navyo ndie wa kuanza nae.. mzigo umepotelea stoo.. mtunza stoo ndie wa kuanza nae..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom