Naomba kufahamishwa juu ya AIM global alliance

Naomba kufahamishwa juu ya AIM global alliance

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,881
Reaction score
60,912
Naona mikutano Yao na hata marafiki zangu wapo huko kwenye hiko chama ila nikiwauliza hawanipi maelezo ya kuridhisha wananiambia nijiunge nitakuwa tajiri Ni fursa kubwa ya kibiashara na Mambo ya network lakini sijaelewa kivipi utaweza kutajirika haraka ndani ya muda mfupi.nimekuja kwenu waungwana Kama Kuna anayejua anielekeze
 
Trap. Ukiingia utajuta kutumbukiza hela zako huko. Kafanye kazi tu za kawaida ndugu au ukae unywe bia kama una hela za ziada. Kwa uzoefu wangu huo ni kama mtego tu. Utapewa maneno mazuri sana na matumaini ya kuingiza mamilioni ndani ya muda mfupi lakini siyo ya uhalisia. Kasome kuhusu pyramid schemes. Zipo nyingi sana siku hizi. Just different names, ila paka ni yule yule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom