ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,822
Protocol Observed!
Nimeamua kulileta hili mana hali ishakuwa mbaya hasa kwenye sekta ya matumizi ya ubongo. Ni kweli mahaba yetu ya vyama isitutoe fahamu. Lililo sahihi tuseme hili "SAWA" na lile la hovyo tuseme hili "SIO" bila hata ya kiitikadi. Nitatoa mifano miwili tu.
Moja. Mfano Msiba leo akaja na hoja ya kuwa wapinzani wanataka kufuta shule zote watoto wasisome (Mfano). Kwa common sense ya kawaida tu huu ni uzushi hata kama aliyesema anamlengo wa chama chako. Pale inapotokea watu wenye mlengo mmoja wa kichama kuanza kumsifia na kusema eti yeye ni mtetezi sijui wa nini... HAYA NI MATUMIZI MABAYA SANA YA AKILI.
Mbili. Mfano wapinzani wakija na maneno kuwa awamu hii haijafanya lolote la maana, wote tuseme sio kweli ni UZUSHI hata kama unamlengo wa huko kwao.
Kila mtu anajua nini serikali imefanya kwa Taifa toka iingie madarakani tena mambo mengi japo mapungufu yapo. Sasa kutaka kutuaminisha kuwa hawajafanya lolote tuwaeleze ukweli next time watakuja na hoja nzuri na ya msingi.
Inshort: TUJARIBU KUWA OBJECTIVE NA KUFIKIRIA KWA KINA HAYA TUNAYOMEZESHWA NA WANASIASA. KWENYE "NO" na "YES" TUSEME BILA MUEGEMEO WA KICHAMA.
Ze farmer Hapa. Siku Njema