Ni wakati wa Januari Makamba, Bashe na Nape kumjibu Lissu

MTAKA HABARI

Member
Jan 17, 2019
73
125
Kwa wachezaji walioanzishwa kipindi cha kwanza uwezo wao umeonekana mdogo sana na mashambulizi yamekuwa makali sana, ili tusiendelee kuruhusu magoli kuwa mengi kwa niaba ya mashabiki wa timu na bila kusubiri kocha aseme lolote

Naomba watu hawa wavae jenzi ili kurudisha uhai wa timu. Najua uwanjani tutakuwa tumezidi maana wachezaji waliojaribu kipindi cha kwanza hawajakata tamaa na kocha yuko kimya kana kwamba magoli yanayoingia yana baraka zake.Japo usoni hana furaha kabisa.

Haya ni mawzo yangu mimi mshabiki kindaki ndaki wa timu hii ya wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
13,199
2,000
Kwani ni lazima kumjibu Lissu? Kwanini haikuwa lazima kwao kupigia kelele suala la ulinzi wake waje kumjibu?

Pili kama Taifa mna mengi ya kufanya si lazima kujibizana mtandaoni
 

Ngisibara

JF-Expert Member
Jan 2, 2009
2,855
2,000
Bashe na Nape wanaweza kujibu lakini kwa January is quiet different, uwezekano ni mdogo mno
Wote waliotajwa hawana uwezo huo ndani ya chama chao kwani na wao dalili zote zipo za wao kushugulikiwa wakati wowote ili wahusika wawe salama 2020 au 2025, hivyo kwa sasa hivi wapo kama wezi wawili wwaliolala chumba kimoja... mmoja akimpa mgongo mwenzie naye anampa mgongo na akigeukia kwa mwenzie naye anageuka kama mwenzie hiyo ni mpaka asubuhi, Nape na Mwigulu tayari wameshaanza kudhoofishwa na hao wengine kilengeo chao bado kinasachi na kikikamata mtaambiwa hivi na vile
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom