Wafanyabiashara kutoka DRC Congo wamelalamikia huduma za Bandari Yetu leo hili ni doa kwa nchi yetu.

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Wakuu.
Nimeona habari youtube kwa millardayo kuhusu wafanyabiashara wa congo wakilalamikia tozo mbali mbali na kumwomba Mh.Rais Magufuli aingilie kati suala hilo na ukweli ni kua hili ni doa kubwa kibiashara kwani sio vizuri kumnyanyasa mteja wako Naomba viongozi muingilie kati hili suala kwa sababu sii sawa na tumelalamika muda mrefu kuhusiana na huduma za Bandari yetu.
 
Waende bandari ya kenya, walizoea kupitisha mizigo bila kodi na kujiita mapedeshee
 
Back
Top Bottom