Nipande 'basi' gani la uhakika kwenda Tabora kutoka Dar es Salaam?

BekaNurdin

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
2,267
2,041
Wakuu, salaam!

Wiki ijayo natarajia kwenda Tabora, basi gani la uhakika nipande wandugu?

Nauli ni shilingi ngapi hadi kule?

Ahsanteni!
 
AM ila uwe na ear protectors za kutosha maana muungurumo wa gari utafikiri upo Ubungo power plant...
 
Mleta mada naona watu wanakujibu bila hata ya kujua unatokea wapi?


Anyway hakuna kitu cha Uhakika hapa Duniani,hata basi jipya linaweza likaharibika njiani au kupata ajali,


Safari njema Mkuu
 
kila mtu anataja basi hataji bei sasa ingia kule fb then tafuta page ya tanzania bound bus (tbt) waulizie hiyo nauli watakupa majibu ndani ya muda mfupi sana
 
Back
Top Bottom