Hivi madereva wa IT na mabasi makubwa ya mikoani vile viringi vya mkononi mnapata VETA au TRA wakati wa kulipia leseni?

maharage ya ukweni

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
1,231
2,400
Salaam aleykum?
Kuuliza sio ujinga so napenda kujua vile viringi vya shaba na fedha wanavyovaa madereva vinapopatikana,maana kwasasa nina mpango wa kujifunza kuendesha gari kubwa na ndogo ili niongeze fani ya udereva.
 
Miongoni mwa tasnia inayoongoza kwenda kwa sangoma ni hao. Hivyo vi Ringi ni maelekezo ya babu wa Bagamoyo.
Duuuuh!basi mimi nilidhani kwenye fomu ya maombi ya leseni TRA kuna kipengele cha kuomba kupewa kiringi cha shaba au fedha
 
Hizo ni ranks kama za jeshi tu
Ukiwa dereva utapata tu na zipo za rangi tofauti tofauti ila zinazidiana kwa vyeo
Zingine wanavaa kiunoni na zingine misuli ya mkono hizo ni kama capt vile hahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Salaam aleykum?
Kuuliza sio ujinga so napenda kujua vile viringi vya shaba na fedha wanavyovaa madereva vinapopatikana,maana kwasasa nina mpango wa kujifunza kuendesha gari kubwa na ndogo ili niongeze fani ya udereva.
Kunasiku niliongozana na tanker,kwambele jamaa akaona jiwe lipo njiani kwaujasili akapaki gari akashuka akaenda kuliokota lile jiwe akalitupilia mbali akaendelea na safari. Mimi nazani ni imani tu.
 
Barabarani kuna mauzauza sana
Kunasiku niliongozana na tanker,kwambele jamaa akaona jiwe lipo njiani kwaujasili akapaki gari akashuka akaenda kuliokota lile jiwe akalitupilia mbali akaendelea na safari. Mimi nazani ni imani tu.
 
Hilo linafahamika kaka tena kwenye magari makubwa haswa transport na haya ya abiria acha tu
Kuna kijana mmoja alikuwa fundi seremala miaka kadhaa iliyopita, mwaka jana nimekutana nae Mwanza anaendesha lori la masafa marefu - ana hizo bangili na pete kubwa kubwa zenye nembo za mfano mafuvu ya vichwa vya watu, nilipomhoji alinijibu zile ni kinga za ajali na kifo. Mjadala ukaishia hapo
 
Huyo ni muongo sana magari mangapi yanapiga mizinga na hizo hirizi zao nakumbuka nikiwa dereva kiwanda cha Mwatex kuna mzee watu walikuwa wanamuogopa sana hata akienda likizo gari lake hagusi mwingine ila kwangu alitubu inilipewa gari akiwa likizo wakati anarudi akaniahidi sitakaa na hiyo gari akapewa gari nyingine kilichofuata alikula mzinga maeneo ya nyamongoro akiwa anaenda musoma mpka leo hii ni mlemavu wa mguu
 
Imani za kishirikina zinawatesa wengi sana
 
Hatari sana, ila wengi wanaiga tu akiona dereva mwenzie amevaa nae anavaa
 
Back
Top Bottom