Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
#REPOST Lamps Collin
Kuna tafiti kadhaa zimefanywa kuhusu siku ya Jumatatu. Wengine wanasema hizo ni imani tu. Kwa vyovyote itakavyokuwa tunakuletea mambo matano kuhusu Jumatatu.
1. Mwaka 2012 na 2018 ndio miaka ambayo kila mmoja ilikuwa na Jumatatu 53. Hiyo haiwezi kutokea tena mpaka miaka ijayo
2.Ongezeko la watu wanaougua ugonjwa wa moyo huongezeka zaidi Jumatatu kuliko siku nyingine. Huwa kuna ongezeko la asilimia 20 ya watu wanaougua ugonjwa wa moyo siku za Jumatatu.
3.Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa duniani kote, watu wengi hujiua Jumatatu kuliko siku nyingine. Inadaiwa kuwa watu wengi huwa na msongo wa mawazo Jumatatu.
4.Tafiti nyingine dunia zinaonyesha kuwa nusu ya wafanyakazi wote duniani yaani asilimia 50 huchelewa kazini siku za Jumatatu.
5.Jumatatu ndio siku nzuri ya kununua gari kuliko siku nyingine yoyote. Utafiti unaonyesha kuwa siku hiyo huwa kuna wateja wachache na wauzaji huwa wanabembeleza sana wateja.