Segerea ni hoteli na darasa kwa Mbowe

Segerea ni hoteli na darasa kwa Mbowe

Mugabe one

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,327
Reaction score
1,684
Mbowe aendelea kusota rumande kwa kosa la kujitakia kwa kuzizarau sheria za Tanzania walizozitunga wabunge wenyewe wakiwemo Mbowe Na Esther.

Mbowe alipanda pipa kwenda Dubai akajisahau akapiga selfii akatutupia sisi washamba, apaa tena hadi ubeleji kunywa juice na huko akapiga selfii akatutumia tena wakati huo huo akiwa Na mgonjwa mahututi huko Afrique SUDI.

Naamini Mtu kama Gentamycine akiidanganya mahakamani anafungwa.

Je ni jambo gani Mbowe ategemee kuhusu dhamana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kujua kama binadamu ananguvu, ebu sukuma mlango wa chooni akiwemo ndani...tehteehh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nisingependa kuona mateja vibaka wakionja JELA wakati mapapa ma dealers wakila bia
 
Umewahi kupoteza uhuru wako hata kwa siku moja tu? Kusota comes in so many forms!
Sijawahi, ila nakijua nachokisema mahabusu ni kama mfalme ndani ya gereza, nenda katembelee gereza la mahabusu picha ya ndege utajionea ama nitafute nikupeleke napopajua mimi tena siku yoyote!
 
Back
Top Bottom