Kutoka Kwa James Gayo

Kutoka Kwa James Gayo

Mkwanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,352
Reaction score
5,414
Mchora Katuni Mkongwe wa Katuni ya Kingo Ndugu James Gayo anaandika.


Baadhi ya waafrika wamekata tamaa. Baada ya tathmini yao ya mambo wameshaamua kuwa Afrika haiwezii kufikia maendeleo ya Ulaya. Hawaamini kuwa inawezekana kwa Afrika kuwa na barabara za kiwango cha ubora wa Ulaya, hawaamini Afrka inaweza kuwa na mpangilio wa makazi bora na safi kwa wananchi wake, hawaamini shule na vyo vyetu vinaweza kutoa elimu ya kweli na kuzalisha wasomi na wanasayansi wanaoweza kugundua chochote, hawaamini huduma za umma zinaweza kuboreshwa tofauti na sasa, hawaamini hospitali zetu zinaweza kufikia ubora wa kiwango hata cha India, hawamini nchi inaweza kukuza uchumi na kuzalisha ajira na masoko ya kutosha kwa wakulima...

Who wanaamini maendeleo ya namna hii si yetu, maendeleo ya Afrika kila mtu kupambana na hali yake.

Ndio maana waafrika hawa wanapobahatika kujijengea kaghorofa na ka-swimming pool pale Ununio, huuliza kwa nyodo; “ Katiba Mpya ya nini?”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mleta mada ameona mbali sana na kiukweli Afrika tutaendelea kuburuza mkia kwa karne nyingi mbele hadi kufikia viwango bora kama wenzetu ulaya.
Kwanza tukipata viongozi bora ,hakuna ufisadi hakuna ubinafsi, viongozi wenye kutamani maendeleo basi uwepo wetu sisi afrika tutauona kabla hatujafukiwa ardhini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom