Fao la kujitoa na mkutano wa Rais Magufuli na viongozi wa dini.

From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
2,076
3,797
I am very discouraged. Highly discouraged. Nilitumai viongozi wa dini wangetoa kero za waumini wao barabra. Kero hizi zilitakiwa zilenge mwenendo wa uchumi na uhusika wake na ziegemee matatizo ya waumini kuhusu kipato.

Ama kweli! Hakuna hata kiongozi wa dini mmoja ambaye alishukiwa na mungu au Mungu wake aseme neno kuhusu fao la kujitoa.

Wanategemea mtu akiachishwa kazi, atatoa wapi hela ya kutoa sadaka ilhali fao la kujitoa halipo?

Nimetukana neno hopeless ndani ya moyo wangu lakini situkani kwa mdomo.

Very hopeless indeed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom