Kwanini Walimu wa ahule za mitaala ya Kiingereza wanataka Wanafunzi wawaite kwa majina yao ya kwanza?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,161
2,000
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.

Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.

Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?

Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium?

Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?

Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
8,161
2,000
Hakuna kwanini inayokataza usiitwe jina unalopenda. Ninaweza kuamua niitwe Sky badala ya Mrs Asprin .
U don't seem to understand madam. What am trying to say here is that teachers should be addressed by their surnames and not their first names. Hayo ndo maadili yetu watanzania.

Mwalimu shuleni anasimama badala ya mzazi. U don't address Ur parent by his/ her first name.

In addition to that a school is a formal institution. Every thing should be conducted formally. Addressing teachers by their first names sound so informal.

Ni sawa na Makonda kum address Pres Magufuli as President John.
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
48,874

Things have changed with a time, now we have Miss Catherine and as you said earlier Teacher George.
 
Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
8,436
2,000
1. Jina la mwalimu : THOMAS KAMUGISHA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Thomas.

Jina la mwalimu : FREDRICK KAKOLANYA.

Jina analotaka watoto wamuite: Teacher Fred.

Kwanini huyo Teacher Thomas asiitwe Teacher KAMUGISHA na huyo Teacher Fred aitwe Teacher Kakolanya?

Au ndio uzungu mwenyewe huo??? Like serious ? Kwa sababu unafundisha English medium? 2mbavu!!!

Since when is it cool for pupils in Tanzania to address their teachers in their first names?

Zingatieni maadili ya mtanzania. U need to be addressed by ur surnames and not Ur first names.
Jina halijalishi ni chaguzi tu, la muhimu zaidi ni ubora wa kile anachofundisha , kama yupo competent inatosha kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom