Serikali chomoeni simu za TTCL kama hamzitumii

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,309
2,000
Inashangaza ktk website ya idara na Wizara za Serikali wameweka namba kibao za TTCL wanaita landline sasa karibu kupiga kama utakaaa kujibiwa. Nimeshajaribu wizara na tasisi kibao sasa mnayaweka kama contact ya nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom