Vijana msikatishwe tamaa nendeni ng'ambo

Vijana msikatishwe tamaa nendeni ng'ambo

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
5,696
Reaction score
8,285
Vijana under 40 years nendeni ulaya kutafuta maisha,msikatishwe tamaa kwamba kule kugumu.

Kama uko hapa nchini na bado una nia ya kutoboa,potelea zako huko ili mradi kule una mtu wa kukupigia pande,yaani Kama kule una ndugu au rafiki na amekupa ushirikiano wa wewe utoboe huko,nenda haraka sana.

Nakupa njia ya kufanya ukifika kule,ukishazoeleka usilaze damu,usiangalie wenyeji wako wanafanya nini?

Wewe hakikisha wanakuunganisha tu kufanya kazi kwenye maduka makubwa. Kazi kubwa kwenye hayo maduka ni kutoa mabox madogo madogo sehemu fulani na kuyahamishia sehemu nyingine humo humo dukani,au kurudishia kwenye shelvu bidhaa zilizonunuliwa.

Kazi ambayo itakupatia mshahara mzuri kwa siku,Kule unalipwa kwa siku,kwa hiyo utaamua wewe uchukue kwa siku ama wiki au mwezi.

Tena kama una mahala pa kufikia,kulala,wewe una nafasi kubwa ya kuanza vizuri,kabla ya wewe nawe kuwa na kwako baada kuzoea na kuseto.

Hata kama umeenda kusoma,wewe jipangie ratiba yako vizuri,mfano kwa wiki unaingia darasani mara 3,hizo siku zingine zingine usizokuwa school,nenda kajiandikishe huko.

Hata zile siku za masomo,mfano unaingia class saa 2,unatoka saa 6. Jipe muda wa kupumzika hata saa moja,baada ya hapo ingia jala.

Ukiwa na malengo ya kufanikiwa,epukana na starehe zisizo na maana kwako,usiige kabisa maisha yao. Fuata tu ulichokikusudia.

Nakuambia ipo siku utaleta uzi wa mafanikio uliyoyapata ukifuata hii. Usiende kule halafu ukarudi na kingereza eti unawaringia kutereza ung'ng'e kama mzungu,huku ukigongea washikaji tena huku. Usiende kubweteka.

Hakika wewe utakuwa milionea kuliko huyu bishooo aliezoea kutengenezewa maisha atakuja kuleta porojo za kibishooo hapa kukatisha tamaa. Uzuri wa kule unaweza ukawa unaishi Iringa au Tanga au Mtwara unafanya kazi Dar. Na kule mengi ni masaa 24.

Na kila siku unafika kwa wakati na kurudi kwa wakati. Usiaangalie wenyeji wanafanya kazi gani?

Hizo kazi nilizokutajia ndizo kazi wazungu wanaziona za chini hawataki kuzifanya kwa hiyo hapo hutagombaniana na mtu kazi,ni akili yako tu mwenyewe upange vipi muda wako.

Asikudanganye mtu kwamba hapa kuna fursa nyingi za kutoboa,ziko wapi fursa? Kama tu mwenye elimu ya chuo mpaka sasa yuko mitaani anasotea kazi mwaka wa 3 sasa. Kama una nafasi wewe ya kwenda huko usichelewe wala usisikilize wajinga watakukatisha vipi?

Hata ktk huu uzi wapo watakuja sasa hivi kukukatisha tamaa. Usijali fuata hicho nilichokuambia,mengine utajuana nao baadae ukitoka kule.

Yale majengo mengi marefu ya watu binafsi Kenya ni uwekezaji wa Wakenya wanaopiga jala ng'ambo.
 
Ha ha ha unazungumzia Ulaya ya miaka ya 90 na 2000 mwanzoni!
 
Bila shaka wewe ni milionea, waache vijana wetu uchaguzi umekaribia.... wavute subira tumejipanga kuwaletea mema ya nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tumekuelewa ila tunakosa conection za kuingia huko !ww unaonaje ukatutumia mwaliko wa kuingia huko ili tupate visa then tukifika huko mshahara wa kwanza unachukua ww au unasemaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu tuelezee wewe mwenyewe umeshafika Ulaya?

Kwanini wewe umerudi bongo hujabaki huko,Ni mafanyikio gani umeshayapata kutoka huko?

Kwanini unatishauri Vijana twende huko wakati upo bongo ,hapa bongo unafanya mishe gani?





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vijana under 40 years nendeni ulaya kutafuta maisha,msikatishwe tamaa kwamba kule kugumu. Kama uko hapa nchini na bado una nia ya kutoboa,potelea zako huko ili mradi kule una mtu wa kukupigia pande,yaani Kama kule una ndugu au rafiki na amekupa ushirikiano wa wewe utoboe huko,nenda haraka sana. Nakupa njia ya kufanya ukifika kule,ukishazoeleka usilaze damu,usiangalie wenyeji wako wanafanya nini? Wewe hakikisha wanakuunganisha tu kufanya kazi kwenye maduka makubwa. Kazi kubwa kwenye hayo maduka ni kutoa mabox madogo madogo sehemu fulani na kuyahamishia sehemu nyingine humo humo dukani,au kurudishia kwenye shelvu bidhaa zilizonunuliwa. Kazi ambayo itakupatia mshahara mzuri kwa siku,Kule unalipwa kwa siku,kwa hiyo utaamua wewe uchukue kwa siku ama wiki au mwezi. Tena kama una mahala pa kufikia,kulala,wewe una nafasi kubwa ya kuanza vizuri,kabla ya wewe nawe kuwa na kwako baada kuzoea na kuseto. Hata kama umeenda kusoma,wewe jipangie ratiba yako vizuri,mfano kwa wiki unaingia darasani mara 3,hizo siku zingine zingine usizokuwa school,nenda kajiandikishe huko. Hata zile siku za masomo,mfano unaingia class saa 2,unatoka saa 6. Jipe muda wa kupumzika hata saa moja,baada ya hapo ingia jala. Ukiwa na malengo ya kufanikiwa,epukana na starehe zisizo na maana kwako,usiige kabisa maisha yao. Fuata tu ulichokikusudia. Nakuambia ipo siku utaleta uzi wa mafanikio uliyoyapata ukifuata hii. Usiende kule halafu ukarudi na kingereza eti unawaringia kutereza ung'ng'e kama mzungu,huku ukigongea washikaji tena huku. Usiende kubweteka.Hakika wewe utakuwa milionea kuliko huyu bishooo aliezoea kutengenezewa maisha atakuja kuleta porojo za kibishooo hapa kukatisha tamaa. Uzuri wa kule unaweza ukawa unaishi Iringa au Tanga au Mtwara unafanya kazi Dar. Na kule mengi ni masaa 24. Na kila siku unafika kwa wakati na kurudi kwa wakati. Usiaangalie wenyeji wanafanya kazi gani? Hizo kazi nilizokutajia ndizo kazi wazungu wanaziona za chini hawataki kuzifanya kwa hiyo hapo hutagombaniana na mtu kazi,ni akili yako tu mwenyewe upange vipi muda wako.
Asikudanganye mtu kwamba hapa kuna fursa nyingi za kutoboa,ziko wapi fursa? Kama tu mwenye elimu ya chuo mpaka sasa yuko mitaani anasotea kazi mwaka wa 3 sasa. Kama una nafasi wewe ya kwenda huko usichelewe wala usisikilize wajinga watakukatisha vipi? Hata ktk huu uzi wapo watakuja sasa hivi kukukatisha tamaa. Usijali fuata hicho nilichokuambia,mengine utajuana nao baadae ukitoka kule.
Yale majengo mengi marefu ya watu binafsi Kenya ni uwekezaji wa Wakenya wanaopiga jala ng'ambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka nmekusoma sana. Me nlikua nnatafuta watu kama ww. Njoo Pm unipe Madini mengi zaid
 
Kwahio mkuu unawapiga kamba vijana waende mbele kusaka life wakati wewe upo bongo na wife mnakula zenu maisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwapigi kamba mkuu. Yeyeto mwenye ndoto hizo,afuate aone kama ni kamba. Vijana wengi wasomi kwa wasiosoma wako mitaani hawana ajira,bado mnawadanganya kwamba fursa zipo hapa hapa huku anazidi kuzeeka. Wakati kuna baadhi ya maeneo fursa zipo,ili mradi afuate utaratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ebu tuelezee wewe mwenyewe umeshafika Ulaya?

Kwanini wewe umerudi bongo hujabaki huko,Ni mafanyikio gani umeshayapata kutoka huko?

Kwanini unatishauri Vijana twende huko wakati upo bongo ,hapa bongo unafanya mishe gani?





Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kukuambia mafanikio yangu kwa namna hii dogo. Kama una nia ya kufika mbele kimalengo,na una njia za kufika huko. Wewe nenda kapige jala utakuja kuniambia dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwapigi kamba mkuu. Yeyeto mwenye ndoto hizo,afuate aone kama ni kamba. Vijana wengi wasomi kwa wasiosoma wako mitaani hawana ajira,bado mnawadanganya kwamba fursa zipo hapa hapa huku anazidi kuzeeka. Wakati kuna baadhi ya maeneo fursa zipo,ili mradi afuate utaratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka ww ni Genius sana. Achana na hao ambao akili zao zpo Dormant. Mwanaume au kijana Maisha ni popote
 
Siwapigi kamba mkuu. Yeyeto mwenye ndoto hizo,afuate aone kama ni kamba. Vijana wengi wasomi kwa wasiosoma wako mitaani hawana ajira,bado mnawadanganya kwamba fursa zipo hapa hapa huku anazidi kuzeeka. Wakati kuna baadhi ya maeneo fursa zipo,ili mradi afuate utaratibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ulishafanya practical ukaenda ulaya ukaona maisha yakoje au ni story tu na wewe uliambiwa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom