King'amuzi cha Continental kimeshuka bei hadi 36,000/-. Nina maswali

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,155
Kifurushi chao ni shilingi ngapi?
kifurushi kikiisha jee zinabaki channel ngapi?
 
Continental wana channel 45 ukilipia na wana vifulushi vya siku wiki na mwezi husipolipia zinabaki channel 5 tbc, channel 10, itv star tv, na uhai tv kibaya hawana channel za michezo sio kwamba hawana kabisa wanazo buti wanaonesha mechi za zamani kuhusu channel za news za kimataifa wanazo kamaDW , VOA NHK WORLD, FRANCE24, ALJAZEERA, BBC WORLD wanaofaidi sana ni wapenzi wa bongo muvi na maigizo ya kibongo ni hayo tu wakuu kwa upande wangu
 
naenda fasta kununua
 
kumbe local channel ni bure kwa continental bora aisee
 
Continental wana channel 45 ukilipia na wana vifulushi vya siku wiki na mwezi husipolipia zinabaki channel 5 tbc, channel 10, itv star tv, na uhai tv kibaya hawana channel za michezo sio kwamba hawana kabisa wanazo buti wanaonesha mechi za zamani kuhusu channel za news za kimataifa wanazo kamaDW , VOA NHK WORLD, FRANCE24, ALJAZEERA, BBC WORLD wanaofaidi sana ni wapenzi wa bongo muvi na maigizo ya kibongo ni hayo tu wakuu kwa upande wangu
Mi ntanunua kwa imani ya matanzangazo yao ya kusisimua
 
Back
Top Bottom