Siku moja walipita mbuzi wawili na kumkuta ng'ombe kafungwa ktk mti wenye majani wanayo yapenda sana na kila sehemu walipopita walishindwa kuyapata maana mti ulikuwa mrefu.
Walipofika ktk mtu ule...
Kufa Kufaana tena Mimi ndiyo nataka ' Condoms ' ziendelee ' Kuadimika ' hata miaka miwili hili Wauza Majeneza nao wapate Kipato. Watanzania ni Watu wabinafsi na mna roho mbaya sana hivi nyie...
Haya mambo ya kufanya census kila baada ya miaka 10 ni fikra za miaka ya 1967 kabisa kwani kipindi hicho nchi ilikuwa haina watalaam wa takwimu na masuala ya demography wa kutosha.
Enzi hizo...
NGUVU YA CHAKULA
Yakobo alinunua haki ya mzaliwa wa kwanza kwa chakula (dengu) Yonathani alifunguliwa macho kwa kula(asali), Isaka alihitaji chakula kitamu ambariki mwanae( Esau) japo Yakobo...
Tanzania ni mojawapo kati ya nchi zinazopatkana kusini mwa jangwa la Sahara, Afrika ya mashariki. Ni nchi iliyopata Uhuru mwaka 1961 chini ya utawala wa Mwl.J.K.Nyerere.
Ni nchi changa...
Habari wana jf.
Mimi ni mbongo ambaye nipo ughaibuni tangu 1992 na sijawahi kurudi bongo. Nilikuja huku kutafuta maisha na kusoma, lakini kutokana na gharama za maisha na gharama za elimu sikuweza...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Mkuu wa wilaya ya Biharamulo, Sada Malunde na Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Wende Ng'ahara wamalize tofauti zao na wasipojirekebisha atamshauri Rais Dkt...
Niko hapa natafakari hatima ya Taifa letu;
Pembeni yangu niko Na Safari kubwa na mrembo akinifanyia Massage huku nikipitia thread mbalimbali za wana JF ambazo nyingi zinaonesha kuwa vijiwa vya...
Wakuu Niko kwenye Baar Fulani huku Sinza kuna paka wawili walikuwa wako chini ya meza wanakula Yale mapojopojo sasa ikatokea kutoelewa huko chini ya meza gafla bin vuu yakapigana gafla Kwa nguvu...
Kumekucha waswahili usema!
Nianze na salamu wana jamvi Igweeee!
Wakati Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano akiwa ziarani mkoani Kigoma, siku ya jana alifanikiwa kumtumbua Mweka hazina wa...
Habari za leo Great thinker!
Bila kupoteza muda niingie moja kwa moja keenye mada
Kwanza kabisa je! Ni kweli kuwa Mungu yupo? Kama ndio je! Mungu aliwaumba wanadamu huku akiwa amewapa matabaka...
Habari za usiku wanajamii forum.Mungu ni mwema kila wakati.
Nafurahi tena kuipata nafasi hii adhimu kuongea nawe waziri wa Ardhi,mhe .sana William vangimembe Lukuvi.
Niende moja kwa moja kwenye...
Polisi wa Tanzania wamemkamata mtu aliyehusika na mauaji ya mwanaharakati wa kupambana na ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire kwenye eneo la Manyara.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara...
Vodacom kuna sehemu mnakwama?? Tangu Jana nimetuma pesa na haijafika inakokwenda, nimeongea na customer care Mara mbili lakini hakuna mrejesho.
Au ni hujuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Somaliland ni eneo ambalo liko Afrika Mashariki nashindwa kusema nchi coz hata kwenye nchi huru za afrika haitajwi.
Naomba ufafanuzi ni nchi au si nchi na kwann?
Rais wake ni nani? Siasa...
Naangalia tamthilia sultan Azam tv. Nimevutiwa na uhusika wa sultan Suleiman khan, hureem, mawaziri na washauri wake wanaomzunguuka.
himaya ya Otthoman inaenda kuanguka Kwa hila za Hurem lakini...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora limewakamata wahamiaji haramu wapatao 22 ambao walikua wakisafiri kutoka nchini burundi kupitia kigoma, Tabora kwa basi na kisha kuelekea nchini Zambia wakiwa kwenye...
Wakuu wa jukwa kwema?
Leo nimeona sisi wahenga tujikumbushe zile Bar na Kumbi maarufu za starehe zilizotamba miaka ya nyuma ambazo leo hii hazipo tena au zimechuja kwa kiasi kikubwa sana.
Mi...
Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano
Na Ahmed Rajab
MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, natumaini kuna baadhi ya watendaji wa Idara hii wamo humu fikisheni ujumbe huu kwa wahusika.
Tumelalamika kwa muda mrefu sasa tokea September 2018 wakazi wa...