Tanzania Iwekeze kwenye Research and Development

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,463
Reaction score
4,801
Niko hapa natafakari hatima ya Taifa letu;
Pembeni yangu niko Na Safari kubwa na mrembo akinifanyia Massage huku nikipitia thread mbalimbali za wana JF ambazo nyingi zinaonesha kuwa vijiwa vya kahawa vyote sasa vimehamia JF.Nafikiri ni wakati sasa wa Melo kuanza kuuza kashata huku Jukwaani naamni atauza sana.

Nirudi kwenye mada lengwa.

Ili tuendelea kama taifa tunaitaji mambo mengi lakini kati ya yote nafikiri Research and Develoment hasa katika kipindi hiki cha zama za Maarifa ni jambo zuri.Ni wakati sasa wa kama taifa kuwekeza katika elimu ya kuwawezesha watu kuwekeza katia Research adna development.Ni wakati sasa wa kuwa na sera rasmi ya Taifa katika maswala ya Research and Development.Inaweza iakaitwa sera ya Taifa ya Utafiti na Mendeleo-2019-2039 yaani sera ya miaka 20 amabyo italenga kuenga mazingira mazuri ya utafiti na kuhamasisha shughuli za utafiti binafsi na kiserikali.

Kwa nini nimewaza hilo.

Kwa kawaida nikinywa bia ya kwanza napata wazo zuri,nikiongeza ya pili akili inachangamka na ya tatu wazo linazidi kuwa Bora.Hivyo basi nafikiri wazo hili ni Bora

Kwa nini sera ya taifa ya utafiti?

  1. Kwa sababu itasaidi watu wengi kufahamu masuala ya Patents,copyright na vitu kama hivyo ambavyo vinahusika katika masuala ya utafiti
  2. Vile vile watanzania wanaonekana na wana mawazo mazuri sana hivyo basi tukihamasisha katika R&D tunaweza kujikuta tukiwasaidia kufungua Bongo zao badala ya kuwa Mitungi,Mikasi,Blunt(RIP Ngwea) wanaweza kuwaza vitu vya maana na kutoa mawazo ya msingi amabayo yanaweza kubadili kabisa uelekeo wa taifa letu
  3. Vilevile tunaweza kuzalisha fursa nyingi za Aira kwani sasa hata watu binafsi wanaweza anzisha Private Research and Develoment firm na kuajiri vijana wengi wanaofia mitaani na GPA kali wakitafuta Ajira
Mnaoneja Wana JF?

Kama hio sera ipo tayari embu mtu aiweke hapa tuipitiea tuone fursa kama haipo basi nyie CCM muache kuangaika na Lissu Muifanyie kazi ni wazo zuri hili kwa kiasi
 
Mkuu hivi unafahamu maana halisi ya "research and development?" ...Development inayofungamana na research sio hii ya kimaendeleo ya kiuchumi bali ni development ya kukifanya "viable" kile ulichokifanyia research. For example unafanya research ya gesi na mafuta ardhini. So, ukishagundua kuwa kuna gesi au mafuta then unaenda kwenye phase ya kuyachimba hayo mafuta, kuchimba huko ndio development yenyewe. Au unafanya research ya ku-introduce new product in the market. Research ikaonyesha kwamba product yako itapata wateja na itauzika sana, hivyo unaanza "kudevelop" hiyo product ili kuiingiza sokoni. In nutshell research and development ni "kufanya utafiti na kutengeneza kile ulichokitafit."
 
mtoa mada unaelewa maana ya hayo maneno mawili..

unavyosikia kampuni kama sony au samsung.. asilimia 70 ya staff wake ni wana deal na research and development.. unafikiri ni mchezo...

huawei , sony, nokia, apple wanatoa funds na kusponsor university kibao za ukweli kama havard, stanford , oxford ziwafanyie research.. baada ya kupewa findings za research wana zi develop ziwe uhalisia.. ndizo hizi matoleo mapya ya simu na tv tunazouziwa....

university zetu hata ukiwapa funds wafanyie research.. zitaisha kwenye kugawana maposho na warsha nyingiiii zisizo na msingi.. ma proff wanakula posho hadi hela zinaisha.. huku research hazieleweki...
 
Nakubaliana na wewe katika kuwa na sera mahsusi ya utafiti na maendeleo.Lakini
Kwa sasa ni muhimu tukajikita katika itekelezwaji wa tafiti za kizalendo ambazo hazikufanyiwa kazi na aghalabu kutambuliwa.
Ni majanga kufanyia kazi tafiti feki zilizokuwa sponsored na wazungu kwa kuwa walitoa rupia zao kwa watafiti wetu.
 
Sio kila wakati Research inahitajika ili kujua kama wazo litakuwa viable.

Kwani, kama unafahamu kuwa eneo fulani watu hawana umeme was uhakika japo wana kipato kizuri.

Kuna haja gani ya kufanya research juu ya biashara ya Solar unayonuia kufanya eneo hilo?

Kwa mfano Steve Jobs hakuamini kwenye Research Bali aliamini kwenye kutengeneza "Great Products".

Pia mtoa mada angeeleza vizuri, kuwa alinuia nini katika mada take?
 
Nakubaliana na wewe katika kuwa na sera mahsusi ya utafiti na maendeleo.Lakini
Kwa sasa ni muhimu tukajikita katika itekelezwaji wa tafiti za kizalendo ambazo hazikufanyiwa kazi na aghalabu kutambuliwa.
Ni majanga kufanyia kazi tafiti feki zilizokuwa sponsored na wazungu kwa kuwa walitoa rupia zao kwa watafiti wetu.
R&D au kwa kikwetu tafiti na maendeleo, Ni muendelezo wa kufanyafanya tafiti na uboresha wa kitu,Jambo, au mbinu na katika kipindi chote Cha mzunguko wa maisha ya kitu,Jambo au mbinu hiyo ili kuiboresha na kuiboresha iwe nzuri,rahisi na kutekelezeka kwa ubora na ufanisi.

Hivyo basi maendeleo yeyote ili yawe endelevu Ni lazima muendelee kufanyinka kwa R&D............
Mfano simu ya mkononi zipo tango miaka ya mwhishoni wa 1980 zikiwa kubwa zisizo kaa na chaji muda mrefu, hazina sms/text, kumbukumbu ya namba na nk ila ola simu za Leo zilivo janja zinafanya Mambo mengi sana ila Bado makampuni yanoendelea kufanya r&d ili kuboresha na kuboresha (idea/research-test/develop,prototype/product)...................

Na malengo ya R&D hayaiishi kwenye product tu.... *Kuungeza ubora wa bidhaa(features, package, functions, austerity, durability, portability, etc)
*kupunguza gharama za uendeshaji/uzalishaji(efficiency and effectiveness)

Kwa hiyo ili taifa tuendelee na tukitegeee lazima tuwekeze Sana kwenye R&D katika kila nyanya ya maisha inayo aksi/endena na mazingira yetu na mahitaji yetu kijamii, kisiasa na kiuchumi.........
Mwlm Nyerere alikuwa ameanza vizuri Sana Tanzania ilikuwa inavituo kadhaa vya kufanya tafiti zilizo kuwa zinaendena na mahitaji ya taifa.......
Mfano vituo VYA tafiti
#Uyole,Mbeye; tafiti za kilimo(mbegu Bora,na njia Bora ya kuzalisha mazao)
#Carmatec; fabrication of agricultural tools and machines
#ukiliguru
#dit
#arusha tech
#karakana ya treni morogoro..
Etc
Vituo VYOTE hivyo na vingine vingi nimevisahau vilikuwa vinafanya tafiti R&D kwa malengo mengi ya ulekeo Kama nilivyo eleza hapo juu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha tufanye research and development kwenye pombe na massage, ndio tunachoweza hicho
 
Wanao pasika kufanya research wanataka kuwa wabunge na madiwani !!! Eti hata ukuu wavwilaya na udas hovyo kabisa
 
Mkuu hivi unafahamu maana halisi ya "research and development?" ...Development inayofungamana na research sio hii ya kimaendeleo ya kiuchumi bali ni development ya kukifanya "viable" kile ulichokifanyia research. For example unafanya research ya gesi na mafuta ardhini. So, ukishagundua kuwa kuna gesi au mafuta then unaenda kwenye phase ya kuyachimba hayo mafuta, kuchimba huko ndio development yenyewe. Au unafanya research ya ku-introduce new product in the market. Research ikaonyesha kwamba product yako itapata wateja na itauzika sana, hivyo unaanza "kudevelop" hiyo product ili kuiingiza sokoni. In nutshell research and development ni "kufanya utafiti na kutengeneza kile ulichokitafit."
Asante kwa kumsaidia. Maana anaandika kitu asichoelewa.
Cc ubongokid

God save us
 
R&D au kwa kikwetu tafiti na maendeleo, Ni muendelezo wa kufanyafanya tafiti na uboresha wa kitu,Jambo, au mbinu na katika kipindi chote Cha mzunguko wa maisha ya kitu,Jambo au mbinu hiyo ili kuiboresha na kuiboresha iwe nzuri,rahisi na kutekelezeka kwa ubora na ufanisi.

Hivyo basi maendeleo yeyote ili yawe endelevu Ni lazima muendelee kufanyinka kwa R&D............
Mfano simu ya mkononi zipo tango miaka ya mwhishoni wa 1980 zikiwa kubwa zisizo kaa na chaji muda mrefu, hazina sms/text, kumbukumbu ya namba na nk ila ola simu za Leo zilivo janja zinafanya Mambo mengi sana ila Bado makampuni yanoendelea kufanya r&d ili kuboresha na kuboresha (idea/research-test/develop,prototype/product)...................

Na malengo ya R&D hayaiishi kwenye product tu.... *Kuungeza ubora wa bidhaa(features, package, functions, austerity, durability, portability, etc)
*kupunguza gharama za uendeshaji/uzalishaji(efficiency and effectiveness)

Kwa hiyo ili taifa tuendelee na tukitegeee lazima tuwekeze Sana kwenye R&D katika kila nyanya ya maisha inayo aksi/endena na mazingira yetu na mahitaji yetu kijamii, kisiasa na kiuchumi.........
Mwlm Nyerere alikuwa ameanza vizuri Sana Tanzania ilikuwa inavituo kadhaa vya kufanya tafiti zilizo kuwa zinaendena na mahitaji ya taifa.......
Mfano vituo VYA tafiti
#Uyole,Mbeye; tafiti za kilimo(mbegu Bora,na njia Bora ya kuzalisha mazao)
#Carmatec; fabrication of agricultural tools and machines
#ukiliguru
#dit
#arusha tech
#karakana ya treni morogoro..
Etc
Vituo VYOTE hivyo na vingine vingi nimevisahau vilikuwa vinafanya tafiti R&D kwa malengo mengi ya ulekeo Kama nilivyo eleza hapo juu..

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio maana nikasema turejelee tafiti zetu za wazalendo na kuhuisha kutokea hapo ...kila jambo Tanzania hii lilishawekewa misingi yake tatizo hapo katikati tulikosa msimamizi tu na sasa tunaye jembe na mbeba lawama JPM.
 
Bahati mbaya Twaweza wakitoa facts zisizopendeza masikio wanaulizwa uraia wao 😭😭
 
Niko hapa natafakari hatima ya Taifa letu;
Pembeni yangu niko Na Safari kubwa na mrembo akinifanyia Massage huku nikipitia thread mbalimbali za wana JF ambazo nyingi zinaonesha kuwa vijiwa vya kahawa vyote sasa vimehamia JF.Nafikiri ni wakati sasa wa Melo kuanza kuuza kashata huku Jukwaani naamni atauza sana.

Nirudi kwenye mada lengwa.

Ili tuendelea kama taifa tunaitaji mambo mengi lakini kati ya yote nafikiri Research and Develoment hasa katika kipindi hiki cha zama za Maarifa ni jambo zuri.Ni wakati sasa wa kama taifa kuwekeza katika elimu ya kuwawezesha watu kuwekeza katia Research adna development.Ni wakati sasa wa kuwa na sera rasmi ya Taifa katika maswala ya Research and Development.Inaweza iakaitwa sera ya Taifa ya Utafiti na Mendeleo-2019-2039 yaani sera ya miaka 20 amabyo italenga kuenga mazingira mazuri ya utafiti na kuhamasisha shughuli za utafiti binafsi na kiserikali.

Kwa nini nimewaza hilo.

Kwa kawaida nikinywa bia ya kwanza napata wazo zuri,nikiongeza ya pili akili inachangamka na ya tatu wazo linazidi kuwa Bora.Hivyo basi nafikiri wazo hili ni Bora

Kwa nini sera ya taifa ya utafiti?

  1. Kwa sababu itasaidi watu wengi kufahamu masuala ya Patents,copyright na vitu kama hivyo ambavyo vinahusika katika masuala ya utafiti
  2. Vile vile watanzania wanaonekana na wana mawazo mazuri sana hivyo basi tukihamasisha katika R&D tunaweza kujikuta tukiwasaidia kufungua Bongo zao badala ya kuwa Mitungi,Mikasi,Blunt(RIP Ngwea) wanaweza kuwaza vitu vya maana na kutoa mawazo ya msingi amabayo yanaweza kubadili kabisa uelekeo wa taifa letu
  3. Vilevile tunaweza kuzalisha fursa nyingi za Aira kwani sasa hata watu binafsi wanaweza anzisha Private Research and Develoment firm na kuajiri vijana wengi wanaofia mitaani na GPA kali wakitafuta Ajira
Mnaoneja Wana JF?

Kama hio sera ipo tayari embu mtu aiweke hapa tuipitiea tuone fursa kama haipo basi nyie CCM muache kuangaika na Lissu Muifanyie kazi ni wazo zuri hili kwa kiasi
Ni wazo zuri sana ambalo kimsingi wanaolalamika ajira hakuna watapungua na ndipo pia tutajua nani amefuzu na ana upeo wa ziada wa kuchochea maendeleo na technology.
Lakini utakuta mawazo kama haya hayana nafasi wamekalia kuwekeza kwenye siasa chafu kama kununua wabunge, sasa hili litainufaisha vipi taifa zaidi ya kukinufaisha chama.
Lakini pia kumbuka kuna sheria za takwimu zinazokinzana pakubwa na mambo ya utafiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hivi unafahamu maana halisi ya "research and development?" ...Development inayofungamana na research sio hii ya kimaendeleo ya kiuchumi bali ni development ya kukifanya "viable" kile ulichokifanyia research. For example unafanya research ya gesi na mafuta ardhini. So, ukishagundua kuwa kuna gesi au mafuta then unaenda kwenye phase ya kuyachimba hayo mafuta, kuchimba huko ndio development yenyewe. Au unafanya research ya ku-introduce new product in the market. Research ikaonyesha kwamba product yako itapata wateja na itauzika sana, hivyo unaanza "kudevelop" hiyo product ili kuiingiza sokoni. In nutshell research and development ni "kufanya utafiti na kutengeneza kile ulichokitafit."
Mbona anaeleweka sioni utofauti ulioutoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kai-edit mkuu. Mwanzoni alikuwa out of context kabisa. Alikuwa anaongelea development kama "economic growth" na sio development as invention or discovery.
Sijaedit bana acha kujificha kwenye ujinga.
 
Back
Top Bottom