Msaada: Basi na hoteli nzuri Dodoma

Msaada: Basi na hoteli nzuri Dodoma

Dj mat

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
747
Reaction score
476
Habari za jioni wana JF na poleni kwa majukumu!
Nipo Dar natarajia kusafiri kwenda Dodoma siku ya ijumaa kikazi.Naomba mnifahamishe usafiri mzuri wa bus(luxury) na hoteli nzuri ya bei nafuu isiyozidi 70,000 per night iliyo katikati ya mji.

Natanguliza shukrani!
 
Hbr za jioni wana Jf na poleni kwa majukumu!
Nipo Dar natarajia kusafiri kwenda Dodoma siku ya ijumaa kikazi.Naomba mnifahamishe usafiri mzuri wa bus(luxury) na hoteli nzuri ya bei nafuu isiyozidi 70,000 per night iliyo katikati ya mji.
Natanguliza shukrani!

Mabasi almost yote mazuri lakini hotel nenda JOHANIC ipo hapa mwanzomwanzo tu. It is 40.
 
kwa kweli ABC liko vzr. kwa hoteli nenda JOANIC pametulia. just ukipita St Gasper unakuta mbuyu uko kushoto unapinda kushoto kuna ghorofa linajengwa (kuna mtu aliniambia ni la ZZK) utaiona joanic hotel
 
Back
Top Bottom