kamati
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 240
- 109
Jamani mi nashauri serikali ijaribu kuwachunguza hizi kampuni za kigeni.
Kuna hawa freelancers wa hapa Mwanza kampuni imewapa kazi ya kuuza line na kuwaahidi kuwalipa commission ya 450 kwa kila line.
Sasa vijana wa Kitanzania wamefanya kazi ya kuhakikisha wanauza bidhaa za kampuni pamoja na kuitangaza kampuni ambayo huwezi ona tangazo lake kwenye TV wala kusikia kwenye redio, Halotel, lakini mwisho wa siku hakuna malipo.
So vijana wameamua kugoma. Wapo getini kwenye ofisi za Halotel karibu na Rock City Mall. Serikali wasaidieni hawa vijana.