Samaki Singa
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 191
- 195
Taifa letu linapita katika kipindi kigumu.Kila kukicha ni migogoro ambayo inamhusisha Rais wetu Dk.John Pombe Magufuli moja kwa moja.
Suala la korosho tunalichukulia kama hoja ndogo lakini kimsingi halitakuwa na matokeo mazuri baadae.
Malipo ya mabilioni ya Acacia nayo bado ni. Mtihani mkubwa.Juzi tumeona tamko la Ikulu kuwa mwezi Machi 2019 mabilioni hayo yataanza kulipwa.Lakini siku moja baada ya tamko la Ikulu tayari Acacia wameibuka na kuweka wazi kuwa hayo ni mapendekezo tu.Haijulikani yatatekelezwa lini na wakamalizia kwa kusema itategemea na bodi zao huru zitakavyoamua.
Sasa swali la kujiuliza ni je hawa washauri wa Rais kweli wanaifanya kazi yao sawa sawa?Kwann tuutangazie umma mambo ambayo yanaonekana yamejaa mkanganyiko?
Dhamira yao ni nn?
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app