World Vision Tanzania ya sasa ni ya hovyo kabisa

World Vision Tanzania ya sasa ni ya hovyo kabisa

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
World Vision enzi hizo bhana siyo sasa! Sasa imekuwa hayawani mno. Shirika halina pesa na mauchunguzi kibao kila siku na kila mradi.

Ambao tumefanya kazi World Vision Tanzania tutakuwa tunajua vzr. Ilikuwa pesa nje nje.Miradi ya kutosha kila siku fields tu. Kila siku nights za kufa mtu.

Ukuda haukuwepo kabisa enzi hizo.Ilikuwa pesa tu kwenda mbele.Kila mtu yupo busy na mradi wake.

Sasa imechoka.Majungu kibao.Auditing kila siku na miradi wanakataa kufadhiri jamaa zetu. Punguza punguza wafanyakazi kila leo.Watu hawahemi.Nights zinakuja kwa manati sana na kwa kuroga.

World Vision siyo sasa.
 
Kwahiyo mkuu ww kulalamika huko sisi kunatuhusu nn? Kama ulitanua kipindi hicho ni ww na wala sio sisi we pambana na hali yako.
 
bingwa Hivi punde naomba msaada wako , mara nyingi ukiomba kazi world vision online, kuna kile kipengele cha kujielezea na core value za world vision... najua mtaalamu we mzoefu pale WV naomba msaada wako namna ya kujielezea ktk kile kipengele msaada please
 
Wenzenu nawaona sana wakilala pale Lush Garden Hotel sakina Arusha.

Asubuhi Cruiser hiyoooo inawapitia kwenda field kupiga changa la macho ili jioni wasaini 😂!
 
World Vision utaishia kura vizuri na kulala sehemu nzuri tu Pesa hukutanï nazo,

Wanao piga Pesa ni Wakurugenzi na Wachungaji walio jazana Ofisi kuu njiro pale
 
Back
Top Bottom