Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Eliza Denis (23) mkazi wa Makulu mkoani hapa kwa tuhuma za kumpiga sehemu mbalimbali za mwili na kumchoma moto mikononi mtoto wake wa kambo, Jackson...
Askari Polisi zaidi ya nane wakiwa na silaha za moto wamemvamia mfanyabiashara wa duka la bidhaa katika eneo la Stand ndogo ya Mabasi jijini Arusha ,Amani Mringo na kumshambulia kwa kipigo kikali...
Hawatumii kinga hivyo upelekea mimba za Mara kwa Mara., utafiti unaonyesha Tz katika wanandoa 100 ni1 tu hajawahi kutoa mimba.
Sababu kubwa za kutoa ni kutokuwa na lengo la kuzaa kwa mda huo.
Pia...
Haswa wale wa Kariakoo nimewavumilia nimeshindwa,Yaani mtu akijichanganya Haijulikani Mita ni ipi na foot ni Ipi? Wana J.f wenzangu naomba tusaidiane hapa watu wanaibiwa sana kule Kariakoo na huko...
Na Samson Mwigamba....
WAKATI nikiwa bado ni mwanachama na kiongozi wa CHADEMA Arusha, kuna siku nilikuwa naongea na viongozi wa chama hicho wilaya ya Arusha mjini. Tukimzungumzia Godbless Lema...
Wanaume wa kata ya Olturument katika halmashauri ya Arusha DC,wilayani Arumeru mkoa wa Arusha,wamelazimika kuzikimbia familia zao kukwepa kukamatwa au kuchukuliwa Mali zao baada ya kushindwa...
Ukioa mwanamke mwenye chura kubwa halafu mkabarikiwa kupata watoto. Mkipata mtoto wa kike ur safe but mkipata mtoto wa kiume there will be two things involved. It either mtoto huyo afuate sura na...
Wakuu, nadhani mtakuwa mnafahamu kinachofanyika huko Vatican kwa sasa. Napenda kufahamu nchi yetu imewakilishwa na askofu wangapi na majina yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumezowea kusikia nchini Spain baadhi ya wachezaji maarufu na hivi karibuni kocha maarufu wakishitakiwa kwa ukwepaji wa kodi hapa wakati fulani TFF baadhi ya mali zake zilishikilliwa na TRA kwa...
Naomba kwa anayejua mshahara wa hicho chuo kwa mtu anaye anza kwa ngazi hiyo. Wadau nipo kwenye mkanganyiko nimeitwa interview huko na TIA. Sasa tatizo zote zimeangukia siku moja na wakati mmoja...
Habari wanaJF!
Katika pilikapila za maisha, wanadamu tunakutana na matukio ya aina mbalimbali. Matukio haya yanaweza kuwa ya kufurahisha kama yale ya Dr Shika na Yono, ama ya kusisimua lakini pia...
TAKE CARE OF YOURSELF
I hear sometimes people talking like it doesn't really matter how they treat themselves. Smoker says, “I am gong to day anyway”. People who eat poorly says, “Why you...
Ninashauri serikali iwafungulie wazawa kusafirisha makinikia ya Shaba, chuma, Manganese na madini mengine. Hii biashara ifanywe na wazawa tu ili fedha ziingie nchini. Ukiangalia Zambia wanauza...
Jamani tulizoea kuona wa Portugese kambi yao Ngerengere wakijenga reli sasa hivi hata mmoja haonekani mbona hatuambiwi wamepotelea wapi?
Mwenye taarifa anaweza kutuelewesha?
Habari ya leo,naomba wenye uelewa wa gharama za matangazo live kwenye TV na radio huwaje? Pia vipindi vyenye dk 30 na matangazo madogo msaada wenu jambo hili linanitatiza.
Sent using Jamii Forums...
Jerry Westrom is seen in an undated photo provided by the Hennepin County Sheriff's Office
A businessman has been charged with fatally stabbing a Minneapolis woman in 1993 after investigators...
Watu watano unaotakiwa kukaa nao mbali hii February*
Asalaam karibu tena Feb, ikiwa ni tarehe tatu hapa naweza andika hili. Hawa ni watu unatakiwa uwaupeke kwa garama yeyote katika maisha yako ili...