Ni siku nyingine Tena, Tunamshukuru Mungu! Poleni Wafiwa wote.
Hivi Ulishawahi kujiuliza kwanini Watu /Mtu anaamua kuwa Muuwaji? Kwa Leo Hebu tuangalie sababu mbili au tatu hivi zitatosha. Kisha...
Jumanne nyingine tena, majukumu mengine tena na maisha yetu yanaendelea kama Jumanne nyingine zilizo tangulia
Ahsante Mungu kwa uhai na afya nyingine tena wenye maradhi poleni na Mungu...
Best To Not Sweat The Small Stuff, Because It Could Kill You
LISTEN· 4:33
Toggle more options
September 22, 20143:30 AM ET
Heard on Morning Edition
PATTI NEIGHMOND
Twitter
Keith Negley for...
📰 *OV93*: *Egypt's 🇪🇬Transport Minister ✉Resigns After Deadly Cairo Train💥 Crash*
Egypt’s transport minister resigned on Wednesday after a deadly train crash in Cairo killed at least 25, and left...
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.
Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa...
Bwana Kangi Lugora amekuwa akijitahidi kushinikiza polisi watende haki. Hata hivyo jitihada na hata dhamira yake inaendelea kuwa ni tone dogo mno katika maji ya bahari.
Hoja kuwa ni polisi...
Lizy Mtango, mtanzania anayeishi Ujerumani ambaye amekua akiugua kansa ya damu kwa muda mrefu (leukemia) amelazimika kuchomwa sindano ya kifo ili apumzike kutokana na mateso ya ugonjwa huo...
Wadau habari zenu, Poleni kwa majukumu ya hapa na pale kadhalika poleni kwa wote walioguswa na msiba wa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mtahaba na wanafamilia wote...
Yuda Isksrioti mmoja wa mitume wa Yesu ambaye baadae alikuja kumsaliti na kusababisha kifo chake aliyasema haya maneno ya kujutia usaliti wake.
Anasa za dunia hii (,fedha) ilimkengeusha Yuda...
Nimekaa baadhi ya mikoa kama Dar,Coast,Iringa na home Kilimanjaro.Huu mkoa una wezi sijawahi ona,Haipiti wiki mtu hajavunjiwa nyumba.Hivi mikoa mingine kuna hali hii kwa wingi au huku vyuma...
Kesi hiyo ya kupinga Wakurugenzi wa Halmashauri na wateule wa Rais kusimamia uchaguzi ilifunguliwa na Wanaharakati wakiongozwa na Wakili Fatma Karume Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika...
Watu wengi wakisikia Clouds ina beef na msanii au mtu yeyote akili zao moja kwa moja zinawatuma kwa Ruge na Kusaga. Ukweli ni kwamba anaefanya kila kitu kinachohusu utendaji ndani ya Clouds Media...
There exist a duality,in form that is hard to observe yet experience.It exist in both existent and non existent forms.IN this paper I am going to look at this phenomenon and its relation to the...
Huduma ya kuhamia mtandao mwingine bila kubadili namba ya simu ya kiganjani au MNP, ambacho ni kifupisho cha Mobile Number Portability, ina maana kuwa mtumiaji anabaki na namba yake ya awali iwapo...
Mh. Rais, hii mifuko haina tija kwa watumishi ni kero tupu linapokija swala la kulipana mafao. Kupokea michango wanafurahia, kulipa wastaafu wana hangaika.
Tatizo liko wapi rais wangu?
Sent...
Mzuqa!
Kuna siku baridi Kali na mafua yalinikaba kichizi sasa maeneo ya City centre railway station Copenhagen nimejifunika kichwa mara kwa mara napenga kamasi na tishu na kuzitupa kwenye trash...
Kwenda Visiting day boarding school au Shule ya Bweni Dar inabidi ujipange sana.je Nini kinapelekea wazazi au ndugu kwenda na vitu vingi kiasi kile,yaani chakula.vinywaji na vingine vingi kwa...
Wabunge na Polisi ndio wanaoongoza duniani kwa vitendo vya rushwa, wote wakiwa na 36%, uchunguzi wa Jukwaa la Uchumi wa Dunia (WEF) umebainisha.
Kwa mujibu wa jukwaa hilo, rushwa hugharimu uchumi...
KIHOLO CHA KISAIKOLOJIA
Hii ni ile hali anayokuwa nayo mtu baada ya kutokewa na jambo la kumvuruga kifikira asilotarajiwa. Baadhi ya matukio hayo ni pamoja na kuondokewa na wazazi ukiwa na umri wa...
Enyi wanamazingira, hivi Serikali inapata kiasi gani katika mifuko ya plastiki. Hata kama wanasema kwamba siku hizi wanazalisha mifuko inayooza, bado mifuko imeendelea namba moja katika uchafuzi...