Namna ya kubadili jina la wasifu

Namna ya kubadili jina la wasifu

Joined
Jul 4, 2016
Posts
23
Reaction score
41
Wadau habari zenu, Poleni kwa majukumu ya hapa na pale kadhalika poleni kwa wote walioguswa na msiba wa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mtahaba na wanafamilia wote.
Nijike moja kwa moja kwenye lengo la ujumbe huu kama kichwa kinavyojieleza, Nimekuwa humu tangu nilipojiunga nikiwa kama mgeni nililazimika kuhitaji kujifunza na hatimae nimegundua moja ya sifa ya watu/wajumbe wengi humu wanatumia majina ambayo sio halisi ndo maana wanakuwa huru zaidi kuchangia mawazo yao na kuanzisha mijadala mipya. Kifupi kwa yoyote anaeweza naomba anipe msaada wa namna ya kunadili jina.

Natanguliza shukrani za dhati.
 
NIRUSHIE BUKU MBILI NIKUFUNDISHE
 
Back
Top Bottom