Enyi wanamazingira, hivi Serikali inapata kiasi gani katika mifuko ya plastiki. Hata kama wanasema kwamba siku hizi wanazalisha mifuko inayooza, bado mifuko imeendelea namba moja katika uchafuzi wa mazingira hasa Dar es salaam. Na kama inaoza, basi inachukua muda mrefu. Mimi nadhani mifuko hii ipigwe marufuku kuzalishwa. Nchi hii bana, kila mtu anafanya anachotaka.