Kwako Waziri Kangi Lugola: Bangi inavutwa hadharani

official scandal

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
348
1,000
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.

Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi.

Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza.

Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.

Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.
Bangi inatuathiri mheshimiwa.
Ngoja nilale maana kichwa kizito
 
Mnyongeni Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
574
1,000
Yaaan nimepigwa simu nlikuwa nagida bia hapo kwa jafary mwenyekiti nasikia kizunguzungu kuona huu uzi mnialike na mm nakuja pm tukutane mkuu
 
mtoto wa mjin

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
586
1,000
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni
Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi. Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza. Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.
Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.
Bangi inatuathiri mheshimiwa.
Ngoja nilale maana kichwa kizito

Acha uchawi mtoto wa kiume...fanya yako...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchizi

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
1,892
2,000
Hivi mtu akivuta bangi kwa raha zake wewe unaumwa na nini? Kamateni wanaolima na kuuza, wacha sie wavutaji tuvute
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
15,875
2,000
Mheshimiwa Kangi Lugola, heshima yako kiongozi. Mimi ni mkazi wa Kigamboni eneo la vijibweni.

Nina jambo moja tu, tuna tatizo la wavuta bangi uwanja wa mpira unaojulikana kama uwanja wa kwa Mhindi.

Kila siku jioni vijana zaidi ya 60 hukutana hapo na kuvuta bangi pamoja na kuuza.

Tumeripoti kituo cha polisi Vijibweni lakini hakuna walichofanya. Mkichelewa wananchi wamepanga kuchukua hatua wenyewe maana tunaibiwa na tunavuta moshi wa bangi kila siku jioni.

Naomba ulifanyie kazi maana kituo cha polisi vijibweni kimeshindwa.
Bangi inatuathiri mheshimiwa.
Ngoja nilale maana kichwa kizito
Kwa hiyo kichwa kizito kwa ajili ya bange?

Una habari na wewe tukikupima unaweza fungwa kwa uvutaji mabange?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwamgogwaferdinand

JF-Expert Member
Jun 28, 2017
697
1,000
Waacheni watu watoe stares zao
FB_IMG_15474641304965368.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
official scandal

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
348
1,000
Endelea kusubiri barua ofisini raia wachukue hatua wenyewe maana huu mtaa wanaishi wastaafu wa jwtz.
Usiseme sikukwambia
[ QUOTE="Rk10, post: 30571133, member: 283075"]Limefika ntalifanyia Kazi ingawa hujaandika barua ofisini Kwangu kijana.

Maendeleo hayana chama.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom