Umewahi kwenda Visiting Day Shule ya Boarding(Bweni)

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,585
Kwenda Visiting day boarding school au Shule ya Bweni Dar inabidi ujipange sana.je Nini kinapelekea wazazi au ndugu kwenda na vitu vingi kiasi kile,yaani chakula.vinywaji na vingine vingi kwa mtoto mmoja na mtoto mwenyewe wala hababaiki na hicho chakula.watu kweli wanafanya kufuru Sana wakati unakuta wanaosoma kayumba hata hicho chakula hawapati.Dunia haina huruma Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heee
Sasa mtu asioneshe mapenzi ƙwa mwanae alieƙo mɓali
Hivi mƙuu unajua watoto boarɗing wanaƙula nini?
Sasa ƙama mtoto anapenɗa biriani alizoea ƙupiƙiwa na mamaƙe nƴumbani..ujue boarɗing hawpiƙi
Ƙwahiƴo mama aƙiamua ƙumpiƙia ɓiryani poti zima mara moja ƙwa mwezi nyo ni ƙufuru?
Naam hata mtoro asipoƙimaliza mraɗi ƙafurahia.
Pili shule za boarɗ kwenƴe visiting day mzazi anataƙiwa apeleƙe ƙatoni ƴa juice ama soft drink ƴoƴote ƙwa mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana,.mimi nakumbuka siku nikija "kuvizitiwa" ilikuwa balaa mpaka unajiuliza hivi vyote kama ni vyakula nakula pekeangu ama?lakini uzuri mimi na mashost zangu tulikuwa tunashea pamoja haswa vyakula tukiletewa..kwahiyo hakitupwi kitu...na ni siku hiyohiyo vinaisha vyooote vinabaki bites tuu na peanut butter/siagi
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
 
Kwenda Visiting day boarding school au Shule ya Bweni Dar inabidi ujipange sana.je Nini kinapelekea wazazi au ndugu kwenda na vitu vingi kiasi kile,yaani chakula.vinywaji na vingine vingi kwa mtoto mmoja na mtoto mwenyewe wala hababaiki na hicho chakula.watu kweli wanafanya kufuru Sana wakati unakuta wanaosoma kayumba hata hicho chakula hawapati.Dunia haina huruma Kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua maana ya upendo.....tuanzie hapo kwanza we punda
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
Kumbe jirani yako mmoja tu nikajua utageneralize mji mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo kikuu cha watoto kuharibika ni shule za boardiing hata zile za madhehebu tofauti tofauti ya kiimani nazo ni hayohayo tu, hazina usalama.

Shule za boarding Tanzanja ni majanga makubwa kwa vizazi vyetu. Maadili zero.

Kuna jirani yangu Dar analia na kujuta kwanini alimpeleka mwanae boarding. Inasikitisha sana.
Hivi madhara ya shule za silikali yenu yanaweza kuwa madogo kuliko ya boarding?
 
Heee
Sasa mtu asioneshe mapenzi ƙwa mwanae alieƙo mɓali
Hivi mƙuu unajua watoto boarɗing wanaƙula nini?
Sasa ƙama mtoto anapenɗa biriani alizoea ƙupiƙiwa na mamaƙe nƴumbani..ujue boarɗing hawpiƙi
Ƙwahiƴo mama aƙiamua ƙumpiƙia ɓiryani poti zima mara moja ƙwa mwezi nyo ni ƙufuru?
Naam hata mtoro asipoƙimaliza mraɗi ƙafurahia.
Pili shule za boarɗ kwenƴe visiting day mzazi anataƙiwa apeleƙe ƙatoni ƴa juice ama soft drink ƴoƴote ƙwa mwanae

Sent using Jamii Forums mobile app
ulisoma shule ya boarding ya serikali mkuu? biriani inaingiaje
 
Back
Top Bottom