Hii mifuko ya hifadhi ya jamii iwe hiyari

kamtesh

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,395
512
Mh. Rais, hii mifuko haina tija kwa watumishi ni kero tupu linapokija swala la kulipana mafao. Kupokea michango wanafurahia, kulipa wastaafu wana hangaika.
Tatizo liko wapi rais wangu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom