Mkoa wa Tabora mmezidi matukio ya wizi

Mkoa wa Tabora mmezidi matukio ya wizi

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,238
Reaction score
11,907
Nimekaa baadhi ya mikoa kama Dar,Coast,Iringa na home Kilimanjaro.Huu mkoa una wezi sijawahi ona,Haipiti wiki mtu hajavunjiwa nyumba.Hivi mikoa mingine kuna hali hii kwa wingi au huku vyuma vimekaza zaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana kuna wendawazimu wengi sana hapo...Ni kulogewa mbaliiii tu mambo gani ya kurudishana nyuma!!!
 
Back
Top Bottom