chief swetu
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 240
- 246
Jumanne nyingine tena, majukumu mengine tena na maisha yetu yanaendelea kama Jumanne nyingine zilizo tangulia
Ahsante Mungu kwa uhai na afya nyingine tena wenye maradhi poleni na Mungu akufanyieni mazito yawe mepesi.
Mu-hali gani mabibi na mabwana/mababu? Najaribu tu kuwaza kwa maandishi hivi kiuhalisia hapa duniani thamani ya mtu inapatikana kwa hawa watu wa aina tatu tu? Au kuna kundi jingine?,
1. Mwenye ukwasi(utajiri) haijalishi kiwango cha ukwasi. Utathaminika tu kulingana na ukwasi wako. Kama sio kitaifa, kimkoa, kiwilaya na kuendelea mpaka ngazi za familia au mahusiano na ukiwa kinyume chake utadharauliwa ngazi zote hzo, unaeza kuhisi MUNGU ana upendeleo.
2. Ukiwa mwenye Hekima na busara utathaminika sana. hata ukiikosea jamii na ukaiomba msamaha hua unaeleweka mapema, kinyume cha hapo Masimango yake utatamani ardhi ipasuke uingie.
3. Aina ya jamii hii si ya kuaminika sana japo hua inathaminika. "Kutokuwepo" Mara nyingi pia thamani ya mtu huonekana anapotoeka ktk jamii husika labda kifo/kuhama.
Usipokuwepo utasikia pengo lake halizibiki/halitazibika lakni ulipokuepo pia thamani yako wala haikuonekana. na unaeza ukaondoka pia kutokuepo kwako ikawa ni bora kwa jamii inategemea na matendo yako jitathmini.
NB: mwenye NGUVU nae anathaminika kulingana na nguvu zake zina mchango upi kwa jamii au Taifa lake. Kuna msemo usemao kwa wanaojua ung'eng'e tu(ONLY STRONG CAN SURVIVE,BUT ALL THOSE ARE WEAK WILL BE SELECTED BY NATURE)
Sent using Jamii Forums mobile app