Fame and its price

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
9,731
2,000
Tumeona wasanii wengi sana ili wafanikiwe wamekuwa wakifanya manbo ambayo yahakubaliki katika jamii (jamii ambayo haijapotoka).

Si ajabu kumuona mwanamziki au msanii wa kiume akiwa amevaa nguo za kike jukwaani wengine tumazani ni style kumbe kuna watu wenye nguvu nyuma yao wanaowafanya kufanya hayo wanayoyafanya, wengine hata wanatuhumiwa na jamii kwamba wanaingiliana na wenzao wa jinsi moja.

Anyway usitamani mafanikio ya haraka ungejua wanayoyapitia usingewaza hata kiwa kama wao.

Pambana na hali yako.

Huyu ni mshindi wa kwanza MWEUSI kushinda tuzo za OSCAR zinazoheshimika saana Amerika
FB_IMG_1551201073382.jpeg
FB_IMG_1551201069695.jpeg
FB_IMG_1551201085312.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

google helper

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
8,434
2,000
Kwa hiyo mfereji wake umesafishwaaaaa Na hana marinda? Au ndo maana anaweka marinda kwenye gauni lake? Tehe tehe tehe tehe tehe
 

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
9,731
2,000
Huwalazimisha wasanii ili watoke kimaisha au wakubalike washiriki ushoga na usagaji ndomana sio ajabu ukasikia Scorfield. Elton John. Makundi kama Ncync. West life. Movie kama Empire zina mashoga wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom