Dar Kama hauna pesa utapata tu wa kukuita boss.

Dar Kama hauna pesa utapata tu wa kukuita boss.

NYOTIENO JARIEKO

Senior Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
196
Reaction score
325
Hahaha jiji la makonda ina Raha zake kipindi nipo kijijini nilikuwa siitwi boss/mkuu siku hizi boss kwenda mbele ,waliosahau jina langu na kunibatiza uboss ni hawa wadau wangu wanguvu

1.Mateja
2.Ombaomba
3.Mamantilie
4.Wapiga debe / makondakta
5.Watembeza nguo na viatu
6.Ongezea na wewe .

Ki ukweli hawa wananipa moyo nikitoka kuchanganya zege kwenye ujenzi was fly over Ubungo hadi nakua na matumaini kuwa Kuna siku nitamliki V8, jengo la gorofa na mtoto mkali hadi mkono was zege lilainike Kama mfanyakazi was BOT . Vijana wezangu wanaoniita boss Mimi sio bosi nikitoka kuchanganya zege naoga ,napaka mafuta na kubadilisha nguo , nguo machafu na weka kwenye begi japokuwa kwa nje begi safi hadi inang'aa lakini ndani kuna kaptula lililopalalaiz na cement ninapovaa kana kwamba kuna pispis ndani .Watoto wakali tunakula kwa macho na kuwaita shemeji ...uzuri tukiwaita mashemeji wanaitika / kutujibu kwa mapozi hapo Mimi akishaitika tu vzr najifariji tu bila wasiwasi.DAR HATUONDOKI WATAONDOKA WANATUACHA , WAENDE TU DODOMA .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom