Wakuu wa Mikoa wamepewa magari mapya?

Wakuu wa Mikoa wamepewa magari mapya?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,677
Reaction score
3,755
Capture.PNG
 
Mkuu wa mkoa kiongozi tu ndo kapewa mpya kama zile BMW za Ikulu
 
Saivi serikali inanunua magari yenyewe moja kwa moja kiwandani, imeachana na madalali wakina karemjee waliokua wakiinunulia serikali magari kwa bei ghali utafikiri viwanda vya magari vipo sayari nyingine.
Mbona nilisikiaga hao watu hawagusiki.!
 
Back
Top Bottom