Ruge Mutahaba kuliamsha dude Kesho 360 Clouds tv

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,389
108,457
Kesho Jumanne tarehe 14 November 2017 kuanzia asubuhi ya Saa 12 hadi Saa 4 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba anategemewa kuzungumza na Watanzania na Wadau wa Radio yake hiyo juu ya mambo mbalimbali.

Je Wewe Mdau wa JamiiForums unadhani moja ya jambo ambalo atalizungumzia ni lipi? Na unadhani kumetokea nini labda mpaka Kesho Bosi Ruge aamue kuzungumza na Wadau ndani ya Kipindi pendwa cha asubuhi cha 360 Clouds tv?

Nimepenyezewa za chini chini ( japo sina uhakika nazo 100% ) kwamba ukiachia mbali Kesho Yeye kuzungumzia Grande Finale Fiesta ya Dar es Salaam itakayofanyika tarehe 25 November 2017 kuna uwezekano mkubwa sana akaliamsha dude juu ya Kile Kilio chake kilichorekodiwa na mengineyo ya kumuhusu Mtangazaji fulani aliyegeuka Kero kwa Watazamaji kwa sasa.

Kesho Kazi ipo 360 Clouds tv na namsubiri kwa hamu zote nimuone Mtani wangu akitiririka na kuserereka.

Nawasilisha.
 
Kesho Jumanne tarehe 24 November 2017 kuanzia asubuhi ya Saa 12 hadi Saa 4 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group Ruge Mutahaba anategemewa kuzungumza na Watanzania na Wadau wa Radio yake hiyo juu ya mambo mbalimbali.

Je Wewe Mdau wa JamiiForums unadhani moja ya jambo ambalo atalizungumzia ni lipi? Na unadhani kumetokea nini labda mpaka Kesho Bosi Ruge aamue kuzungumza na Wadau ndani ya Kipindi pendwa cha asubuhi cha 360 Clouds tv?

Nimepenyezewa za chini chini ( japo sina uhakika nazo 100% ) kwamba ukiachia mbali Kesho Yeye kuzungumzia Grande Finale Fiesta ya Dar es Salaam itakayofanyika tarehe 25 November 2017 kuna uwezekano mkubwa sana akaliamsha dude juu ya Kile Kilio chake kile kilichorekodiwa na mengineyo ya kumuhusu Mtangazaji fulani aliyegeuka Kero kwa Watazamaji kwa sasa.

Kesho Kazi ipo 360 Clouds tv na namsubiri kwa hamu zote nimuone Mtani wangu akitiririka na kuserereka.

Nawasilisha.
Kesho sio tarehe 24.
 
Kesho pia kuanzia saa mbili asubui mkurugenzi wa EFM majey au majizo for shizzo atakua anakiwasha huko EFM radio na TV nazan wamezima mziki sasa wanawasha kiki ngoja tusubirie by the way mkuu GENTAMYCINE kuna kijana alikua anakutafuta week end alisema anataka battle na Wewe vp ulimcheki au
 
Hakuna kipya zaidi ya kuzungumzia wenyewe wanaita fursa kufutia ziara ya baby huko dubai
 
Kesho pia kuanzia saa mbili asubui mkurugenzi wa EFM majey au majizo for shizzo atakua anakiwasha huko EFM radio na TV nazan wamezima mziki sasa wanawasha kiki ngoja tusubirie by the way mkuu GENTAMYCINE kuna kijana alikua anakutafuta week end alisema anataka battle na Wewe vp ulimcheki au

Bado sijaona Mtu humu wa kufanya battle na Mimi Mkuu na kama yupo basi atakuwa anajidanganya kwani nina mbinu nyingi mno za kumdhoofisha adui vyovyote vile atakavyokuja. Kama labda unamkumbuka hebu nikuombe tu Mkuu msakizie Kwangu ili battle ianze.
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Ha ha ha kakutafuta sana HR 666 na maneno mengi mpk nkasema umekimbia au
 
mm nishawachoka hao uyo jamaa akitaka kuzungumza mambo ya person anazungmzia kwenye kipindi cha 360 clouds tv embu awaige wakurugenzi wenzake mbona wametulia na hata kwa jamii wa heshima kubwa kama joyce mhavile,tido mhando,na wengine wa tv nyingine wakurugenzi nadhani ajuhi wadhifa wake
 
yaan anazidiwa hata seba maganga kira cku yeye tu wasanii wanampilia yeye kashfa za ngono kwa wasanii wa kike yeye
 
Back
Top Bottom