M.A.M.A.(Mungu Amlaze Mahali Anapostahili)

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,027
Hii ni kwa marehemu wote na marehemu watarajiwa. Mambo ya kumpangia Mungu eti mlaze mahali pema peponi hiyo sio kazi yako ni Mungu pekee ajuaye nani wa kumlaza pema peponi na nani wa motoni! Hivyo hakuna mambo ya RIP hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani na kumlaza marehemu hata kama ni popote anapostahili ni mpaka tumwambie Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza inafaa kumuweka kando Mungu na baadhi ya matukio, kwa mfano, Mtu ameishi maisha yake yooote anazunguka kwenye madisko huko, anahimiza manyimbo sijui ndo ya maadili gani, Alafu eti anapatwa matatizo ndipo tunaanza kusema Kazi ya Mungu na bla bla kibao.

Sisi binadamu tu wanafiki sana.
 
Inawezekana aliyatengeneza mambo yake na Mungu kabla mauti haijamkuta kwani Mungu wetu ni mwingi wa rehema na fadhila zake kwetu ni za milele

$
 
Hapo sawa Mkuu, ila kwanini hatuweki njia zetu saws tukiwa na afya ili na wengine wachukue mifano toka kwetu?

Huyu Bro bana sio siri kifo chake kimeniumiza hata japo media alizokuwa akiongoza zilikuwa na bado zinauchukia upinzani.

Angalia amefariki media zake zimegeuka makanisa kwa nyimbo za injili, na baada ya mazishi zinarudi kulekule kwenye kuharibu jamii.

Unajua Mkuu tuache unafiki kwa Mungu hats kama tuna madhaifu sio kusababisha kupeleka watu motoni alafu sisi tukitengeza dakika za mwisho.
 
Tatizo nikuwa binadamu wengi tunajisahau alafu tumejawa na unafiki mioyoni mwetu
Mfano angalia ni wangapi walimsema vibaya na kumchukia marehemu enzi za uhai wake lakini ghafla leo wamegeuka na kuwa wema kwa marehemu kwa kumsifia kwa sifa zote

$
 
Back
Top Bottom